Dit000
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 710
- 1,041
UTT ni kampuni ama taasisi ya serikari Iko chini ya wizara ya fedha na mipango, inajihusisha na masuala ya uwekezaji wa pamoja, inafanya kazi kama mutual fund.UTT inamaana gani, kwa sababu hizi terminology za kibiashara sizijui mda mwingi nimekaa shule za bweni nikisoma sayansi
UTT inajihusisha na kuwekeza kwenye soko la HISA DSE na hati fungani za serikari.
UTT Ina mifuko mingi ya kuwekeza Kila mfuko una taratibu zake,ila mfuko wa bond fund naona ndio mzuri sera ya uwekazaji kwa asilimia kubwa pesa zenu zinawekezwa kwenye hati fungani za serikari za muda mrefu.
Ukitaka maelezo kwa kina unaweza Kuni DM maana hata Mimi nimeweka za.