Nahitaji ushauri kwa mtaji wa 40 milionI

Nahitaji ushauri kwa mtaji wa 40 milionI

Ah wee maenye natamani kweli kwenda hotel verde ila sasa chumba laki nne unusu kwa siku sii balaa hilo.
On serious note though 10mil wat business can i do ambayo 30k kwa siku sikosi

Tumia pesa ikuzoee acha woga twende Verde tukale maisha na hiyo 10million, unafeli wapi daddie [emoji12]
 
Habari za muda huu, Mimi ni kijana wa miaka 20, hivi karibuni ninatarajia kupokea 40mil, je ni biashara gani ya uhakika naweza kuifanya yenye pesa..Mimi binafsi sipendelei maduka kabisa Wala sifikirii, Ila nilikuwa nawaza kununua coaster hata kama used kwa mtu, nimpe mtu afanyie kazi kwa siku iwe inakuja atleats 70k huku nikiendelea na chuo...
Nawakaribisha mnipe mawazo yenu. Asante
Kwa umri wako sikushauri uupe mtu biashara aendeshe alafu akuletee hela utalia..
kama unataka kufanya biashara kwa umri wako hakikisha unasimamia mwenyewe au unafanya mwenyewe

Ushauri wangu kwako.
Nenda kawekeze hizo pesa UTT huko kwa miaka minne kila mwezi utakuwa unapata laki nne bila kelele na mtu kwa ukimaliza chuo miaka 3 ubado utaendelea kupokea kwa mwaka mmoja zaidi naamini hadi kufikia miaka minne utakuwa umesha pata wazo la kufanya au biashara ya kufanya..
 
Habari za muda huu, Mimi ni kijana wa miaka 20, hivi karibuni ninatarajia kupokea 40mil, je ni biashara gani ya uhakika naweza kuifanya yenye pesa..Mimi binafsi sipendelei maduka kabisa Wala sifikirii, Ila nilikuwa nawaza kununua coaster hata kama used kwa mtu, nimpe mtu afanyie kazi kwa siku iwe inakuja atleats 70k huku nikiendelea na chuo...
Nawakaribisha mnipe mawazo yenu. Asante
Nunua mchele

Kama utapata connection nzuri chukua mchele huu wa nje ya nchi wauzie wauza mchele kwa jumla unaeza anza kuzungusha 10m kadri unavyoenda unaongeza pesa

Mchele haukati pesa labda utapeliwe tu
 
Ndio ipo kwa shati hapa yaani nasubiria wazo la biashara tuu

Biashara ya nini utapata hasara ufe kabla ya wakati, wewe fanyia kazi lile wazo la Cape Verde bhanaaa, twende tukaponde maraha visiwa vya karafuu [emoji12][emoji12][emoji12]
 
Back
Top Bottom