YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Nikki wa pili?
Nikki wa pili teena?!! Ndio yupi mzee [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikki wa pili?
Shemeji yetu kwa mujibu wa ExtrovertNikki wa pili teena?!! Ndio yupi mzee [emoji3]
Tulia uolewe basiShemeji yetu kamuoa nani?!! Mbona mnanipa code ngumu [emoji3]
EehUnamsema Kantri?!! Ndio DC?!! [emoji15][emoji15]
Tulia uolewe basi
Hahahah kumbe humjui mkuu wa wilaya ya KibahaKantri ni DC?! Makubwa [emoji134]
Haya DC wa wilaya gani?! Mbona baby wake hajaniambia? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah kumbe humjui mkuu wa wilaya ya Kibaha
Kubet ni very riskyHakuna biashara yenye uhakika wa pesa wala biashara isiyo na uhakika wa pesa,
Biashara hutakiwi kushauriwa,
Biashara ni mchakato wa kuangalia kwanza wewe unaweza kufanya nn,
Hakikisha unafanya unachoweza,
Usifanye kwasababu umesikia kinalipa,
Hakuna kisicholipa,
Hicho unachosikia kinalipa kunamtu hataki kukisikia,
Kikubwa usifanye biashara mshenzi,
Mambo ya kuweka milion 40 faida laki 3 kwa mwezi acha kabisa ujinga huo,
Utachelewa sana kufanikiwa,
Angalia unaujuzi gani fanya biashara,
Usihesabu kama unamtaji wa milion 40
Hesabu unamtaji wa milion 20,
Kwahyo anza na biashara ya milion 20,
Mwanzo wa biashara huwa ni mgumu sana,
Mtaji ukidrop unaboost kidogo kidogo hvyohvyo mpaka utasimama vizuri,
Biashara nyepesi zaidi ni nnayoweza kukushauri ni KUBET,
najua wengi mtaona kichekesho lakini kama utanichukulia serious basi unaweza kufanikiwa,
Kubeti ni kazi rahisi sana kwa sisi ambao hatujazaliwa kwenye mifumo ya kimangi mangi,
Mtu anatoka home na milioni 50 anaingia Casino kubet usimuone fala yule,
Anafanya anachokijua na anauhakika nacho,
Ntaandaa uzi mmoja sikumoja unaohusu biashara rahisi ya kubet,
Atakaekuwa makini na hilo atafanikiwa mpaka atashangaa,
Kikubwa usiwe na tamaa tuu na uwe na mtaji
Kaeni tayari
Lakini usilete mambo ya dini huku [emoji23][emoji23]
Maana hakuna dini inayokubali kamali,
Kama wewe unaamini dini kaa mbali na sisi dini less [emoji23]
Pointi sana hiiHongera kuwa na wazo la kuinvest ukiwa shuleni.
Biashara ya usafirishaji ni risk sana kupoteza mtaji. Nina uzoefu kwenye hili
Kama utaweza nenda uweke hizo hela benki kwenye fixed deposit account wakati ukiendelea na masomo, na kiasi kidogo maybe 5M nenda uwekeze UTT ili uewe unazungusha kupata hela ya kujikimu.
Jitahidi kukwepa vishawishi vya makundi hapo chuoni ili uje uhitimu ukiwa salama kiafya (afya ya akili na mwili), kwani una nafasi kubwa ya kuja kufanikiwa as tayari una mtaji wa kuanzisha safari yako ya mafanikio.
Kila la kheri.
Sure thingIWE itakavyokua hamna biashara yoyote utakayoweza kuianza kwa mtaji mkubwa hivyo kama kweli unahitaji kufika mbali kibiashara.
Mtaji mkubwa sana wakati mwingine ni sababu yakufanya upoteze na usifanikiwe, hivyo basi katika 40m sahau kuhusu 30m mkononi baki na 10m.
Kwenye 10m sasa waza biashara,zile 30m kazifiche fixed huko zipotezee kabisa, ruka ruka na hii 10m TRUST me utanielewa baada ya mwaka katika biashara.
ila mimi hata nikikushauri sitokushauri biashara nnje ya mtaji wa 10m kwa beginner, 10m yenyewe nimejitutumua kwasababu naona una akiba ila AMINI nakuhakikishia biashara ili utoke ni lazima uanzie CHINI na sio JUU. DONE.
hivi nimekushauri kweli? bado eeh kwasasa siwezi kukuingiza chaka,you need experience and time mdogo angu,Business sio JACKPOT.
🙏Pointi sana hii
Weka ktk Cryptocurrency milion 10 tu hauta kuja jutia na utakuja kuni shukuru, ktk biashara hz za connections changamoto ni nyingi sana na wajuaji wamekua wengi, dldl ndio duuh pasua kichwaHabari za muda huu, Mimi ni kijana wa miaka 20, hivi karibuni ninatarajia kupokea 40mil, je ni biashara gani ya uhakika naweza kuifanya yenye pesa..Mimi binafsi sipendelei maduka kabisa Wala sifikirii, Ila nilikuwa nawaza kununua coaster hata kama used kwa mtu, nimpe mtu afanyie kazi kwa siku iwe inakuja atleats 70k huku nikiendelea na chuo...
Nawakaribisha mnipe mawazo yenu. Asante
Si bora aweke Utt. Huko kwenye crypto hakuna atakaye kusaidia mambo yakienda kushoto.Weka ktk Cryptocurrency hauta kutia na utakuja kuni shukuru, ktk biashara hz za connections changamoto ni nyingi sana na wajuaji wamekua wengi