Nahitaji ushauri kwa mtaji wa 40 milionI

Kubet ni very risky
 
Ndugu yangu unayepokea hiyo 40Ml nitafute Inbox utakuja kushukuru. Tuweke mzaha pembeni jamani, tuwe serious
 
Pointi sana hii
 
IWE itakavyokua hamna biashara yoyote utakayoweza kuianza kwa mtaji mkubwa hivyo kama kweli unahitaji kufika mbali kibiashara.

Mtaji mkubwa sana wakati mwingine ni sababu yakufanya upoteze na usifanikiwe, hivyo basi katika 40m sahau kuhusu 30m mkononi baki na 10m.

Kwenye 10m sasa waza biashara,zile 30m kazifiche fixed huko zipotezee kabisa, ruka ruka na hii 10m TRUST me utanielewa baada ya mwaka katika biashara.

ila mimi hata nikikushauri sitokushauri biashara nnje ya mtaji wa 10m kwa beginner, 10m yenyewe nimejitutumua kwasababu naona una akiba ila AMINI nakuhakikishia biashara ili utoke ni lazima uanzie CHINI na sio JUU. DONE.

hivi nimekushauri kweli? bado eeh kwasasa siwezi kukuingiza chaka,you need experience and time mdogo angu,Business sio JACKPOT.
 
Ucje narudia tena ucje fanya bznes y usafilishaji kwa ahadi y kupokea hesabu y elfu 70 kwa siku. Kutokana n ww kua masomoni mda mwingi uko shule. Utamtajilisha Dereva n koda tu.NARUDIA TENA UCJE FANYA HIYO BZNES.OGOPA.Ningeandika kisa cha mzee majura alikua mtangazaji radio one n ITV.Baada y kupata pesa kwa kuuza RADIO yake kwa mwamposa alipata pesa mingi mingi mnoo.
 
Sure thing
 
Weka ktk Cryptocurrency milion 10 tu hauta kuja jutia na utakuja kuni shukuru, ktk biashara hz za connections changamoto ni nyingi sana na wajuaji wamekua wengi, dldl ndio duuh pasua kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…