Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Tafuta odds 10 ndani ya saa 2 una Milion 400, uliipata hiyo Milion mianne tafuta odds 10 zingine una Bilion nne hiyo inakutosha mpaka ufe tumia laki moja kila siku kwa Miaka 90
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nitafute pm twende Dubai ukanunue hisa za DP world
Utani shukuru,,[emoji4]
Pesa kuihifadhi ni ngumu wekeza hata kwa hati funganiUsimamizi wa mishe za mchele na masomo ya chuo itawezekana kweli kwenda kwa wakati mmoja?
Hilo ni jambo la kawaida yanawezekana ni mgawanyo wa mali za urithi.kijana miaka 20 alafu unatarajia kupata milion 40 embu tuambie unaipatapataje kwanza au unaenda kuiba sehemu ndo tukupe ushauri
Nakazia hapa,kwa mwanafunzi si vema kujiingiza kwenye stress za biashara.Hongera kuwa na wazo la kuinvest ukiwa shuleni.
Biashara ya usafirishaji ni risk sana kupoteza mtaji. Nina uzoefu kwenye hili
Kama utaweza nenda uweke hizo hela benki kwenye fixed deposit account wakati ukiendelea na masomo, na kiasi kidogo maybe 5M nenda uwekeze UTT ili uewe unazungusha kupata hela ya kujikimu.
Jitahidi kukwepa vishawishi vya makundi hapo chuoni ili uje uhitimu ukiwa salama kiafya (afya ya akili na mwili), kwani una nafasi kubwa ya kuja kufanikiwa as tayari una mtaji wa kuanzisha safari yako ya mafanikio.
Kila la kheri.
Sahihi mkuuNakazia hapa,kwa mwanafunzi si vema kujiingiza kwenye stress za biashara.
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Yes biashara ukiwaona watu wanafanya utadhani rahisi ila ingia sasa uone stress zake.Sahihi mkuu
Vyema awekeze huko UTT awe anapewa faida tu.
Nikiwa fourth year nilikuwa nafanya biashara hapo mjini, ilinipa stress sana maana tbs/Wakala wa vipimo/tfda walikuwa wananisumbua kutaka rushwa kila leo mwishoni nikaamua kufunga biashara yenyewe [emoji119]
Yeah ni kweli Mkuu, biashara inahitaji muda na nafasi.Yes biashara ukiwaona watu wanafanya utadhani rahisi ila ingia sasa uone stress zake.
Kwenye biashara kuna stress za kukimbizana na wateja wa cash+wa madeni ambao wengine ni wagumu kulipa,kuna stress za kuwindana na competitors,kuna stress za kukimbizana na wafanyakazi wako ambao wengine si waaminifu,kuna stress za kukimbizana na mamlaka mbalimbali za serikali utasoma saa ngapi.
Na bado ukilala usiku unapiga hesabu/plans za kuiboresha biashara yako ili kuwashinda wapinzani wako.
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
mimi huwa nasema kuweka fedha inahitaji nidhamu ya hali ya juu unajua unaweza ukawashwa kipele ukatamani umwajiri mtu akukune..kuweka fedha ni swa na kuweka stock ya mlo tumboni kwamba ule sana asubuhi ili mchana na usiku usile....gari pasua kichwa kama huna muda w akulifuatilia na kukaza japo mimi natafuta canter yangu nikomae mwenyewe au tractor yako moja na jembe lake unatulia msimu ukiwadia unaenda kuvimba unakusanya kibuna unaipack....ukimaliza chuo uanzama mazima kwenye hio ishu hata kama ni kuitengenezea tela...Hongera kuwa na wazo la kuinvest ukiwa shuleni.
Biashara ya usafirishaji ni risk sana kupoteza mtaji. Nina uzoefu kwenye hili
Kama utaweza nenda uweke hizo hela benki kwenye fixed deposit account wakati ukiendelea na masomo, na kiasi kidogo maybe 5M nenda uwekeze UTT ili uewe unazungusha kupata hela ya kujikimu.
Jitahidi kukwepa vishawishi vya makundi hapo chuoni ili uje uhitimu ukiwa salama kiafya (afya ya akili na mwili), kwani una nafasi kubwa ya kuja kufanikiwa as tayari una mtaji wa kuanzisha safari yako ya mafanikio.
Kila la kheri.
Kama ulivyosema, fedha inahitaji nidhamu ya hali ya Juu kutunza.mimi huwa nasema kuweka fedha inahitaji nidhamu ya hali ya juu unajua unaweza ukawashwa kipele ukatamani umwajiri mtu akukune..kuweka fedha ni swa na kuweka stock ya mlo tumboni kwamba ule sana asubuhi ili mchana na usiku usile....gari pasua kichwa kama huna muda w akulifuatilia na kukaza japo mimi natafuta canter yangu nikomae mwenyewe au tractor yako moja na jembe lake unatulia msimu ukiwadia unaenda kuvimba unakusanya kibuna unaipack....ukimaliza chuo uanzama mazima kwenye hio ishu hata kama ni kuitengenezea tela...
Kwanza ukiweka tu huo uzi wa kubeti nijulishe chap mkuu niusomeHakuna biashara yenye uhakika wa pesa wala biashara isiyo na uhakika wa pesa,
Biashara hutakiwi kushauriwa,
Biashara ni mchakato wa kuangalia kwanza wewe unaweza kufanya nn,
Hakikisha unafanya unachoweza,
Usifanye kwasababu umesikia kinalipa,
Hakuna kisicholipa,
Hicho unachosikia kinalipa kunamtu hataki kukisikia,
Kikubwa usifanye biashara mshenzi,
Mambo ya kuweka milion 40 faida laki 3 kwa mwezi acha kabisa ujinga huo,
Utachelewa sana kufanikiwa,
Angalia unaujuzi gani fanya biashara,
Usihesabu kama unamtaji wa milion 40
Hesabu unamtaji wa milion 20,
Kwahyo anza na biashara ya milion 20,
Mwanzo wa biashara huwa ni mgumu sana,
Mtaji ukidrop unaboost kidogo kidogo hvyohvyo mpaka utasimama vizuri,
Biashara nyepesi zaidi ni nnayoweza kukushauri ni KUBET,
najua wengi mtaona kichekesho lakini kama utanichukulia serious basi unaweza kufanikiwa,
Kubeti ni kazi rahisi sana kwa sisi ambao hatujazaliwa kwenye mifumo ya kimangi mangi,
Mtu anatoka home na milioni 50 anaingia Casino kubet usimuone fala yule,
Anafanya anachokijua na anauhakika nacho,
Ntaandaa uzi mmoja sikumoja unaohusu biashara rahisi ya kubet,
Atakaekuwa makini na hilo atafanikiwa mpaka atashangaa,
Kikubwa usiwe na tamaa tuu na uwe na mtaji
Kaeni tayari
Lakini usilete mambo ya dini huku [emoji23][emoji23]
Maana hakuna dini inayokubali kamali,
Kama wewe unaamini dini kaa mbali na sisi dini less [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila wabongo jamaniTafuta odds 10 ndani ya saa 2 una Milion 400, uliipata hiyo Milion mianne tafuta odds 10 zingine una Bilion nne hiyo inakutosha mpaka ufe tumia laki moja kila siku kwa Miaka 90
Huu ushauri unautoa sana kila raia zinapoomba maoni juu ya biashara, utatupotezea vijana wetu[emoji23].Fungua kituo cha polisi ajiri migambo wawili, anza na vibaka watatu na wafanye doria kwenye vilabu vya pombe lazima mtapata wahalifu wengi. Mkiwakamata lazima watoe pesa, kuingia kituoni bure lakini kutoka na pesa! Ndani ya week mna pesa za kutosha mnafunga kituo, mnakihamisha mitaa mingine ndani ya mwezi hiyo 40million itakuwa imeongezeka sasa njoo tufanye biashara ya soya [emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ushauri unautoa sana kila raia zinapoomba maoni juu ya biashara, utatupotezea vijana wetu[emoji23].
[emoji1][emoji1]Huo ushauri ndio wenyewe bro, kikubwa akipiga mkwanja asinisahau ya soda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nampa codes za wahabeshi
[emoji1][emoji1]
[emoji16][emoji16]Hizo code hawatoi hovyo hovyo ilitakiwa alipie, lakini me nimempa bureee
Najua kuna maninja wataruka nayo code ila wasinisahau wakifanikiwa sister yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16]
Kikubwa apate migambo wa maana ambao wakienda kutafuta wahalifu hawakosei, ukikamata 20 kila siku halafu aache tamaa kila kichwa apige 50K, hatajiriki huyu kijana?
Sidhani atakuwa na moyo usiokuwa na shukrani kiasi hicho, kiasi kwamba asikukumbuke mtoa wazo.