Nahitaji ushauri wako kuhusu saratani ya damu

HUWA NAHISI KAMA KUNACHOMA KWA MBALI KK,KUNA KIPINDI FULANI WALIVYONIAMBIA HIVYO NIMETUMIA SANA DAWA ZA KISWAHILI HALI ILITULIA KABISA LAKINI NAHISI IMEANZA TENA KWA MBALI....HUWA MIFUPA INAKUUMA PIA?
Nenda kamuone Daktari muelezee wasiwasi wako watakushauri ufanye nini
 
Hahahaaaa lmda hajafikiria hivyo
achana nao mkuu wivu tu unawasumbua kwani umesema unakufa ,na kama ni kufa kila mtu atakufa kifo hakina hodi ,hujawai kuona mtu anaamka mzima kabisa anapanga na mipango yake anakufa tu ghafla? tena mkuu usiogope kabisa hilo ni tatizo dogo tu lisikupe stress kila mtu ana stress zake humu duniani,wengine madeni,wengine kesi,wengine vifungo ,wengine wagonjwa nk.wewe chukulia tu poa na furaia maisha hivohivo kwa kila dakika uliopewa .
 
kuna mtaalamu mmoja yupo sehemu unaitwa nyumba ya mungu katika wilaya ya mwanga hapa moshi.huyu mzee amesaidia watu wengi sana hadi madaktari wenye saratani mbalimbali amewasaidia na wamepona!kiukweli huyu mzee ni bingwa na hana gharama kubwa ila masharti yake ya kukutibu usiwe umechomwa mionzi na kansa isiwe katika ya mwisho kabisa!kwa hapo anakutibu na unapona kabisa mimi nna ushuhuda wa dada yangu alipata ya ziwa mwaka 2000 alitibiwa hadi leo amepona kabisa.na ameshapeleka ndugu na jamaa wengi kwa huyo mzee na wamepona kabisa.dawa za hospitali hazitibu zaidi ya kukudhoofisha tu.tafuta muda nenda hapo nyumba ya mungu ulizia KOKOTO utapelekwa na gharama zake hata elf50 haifiki halafu uje ulete mrejesho hapa ukichekelea
 
toka umeanza tiba maendeleo yapoje
Namshukuru Mungu afya inaimarika lkni Cancer ni kitu kinachokua damuni so kikubwa ni kuicontrol au kuziua cell zake ili isizidi kuongezeka
 
Namshukuru Mungu afya inaimarika lkni Cancer ni kitu kinachokua damuni so kikubwa ni kuicontrol au kuziua cell zake ili isizidi kuongezeka
we Satuuuu hayo aliyoyasema flintsky katika hiyo post ya #65 yafuatilie na wala usiyapuuzie, maana hata mimi nina ushuhuda na huyu mzeee. Yani akikutibu unapona kabisa.. na gharama zake ni ndogo sana tena zaidi ya sanaa
 
Nenda kamuone Daktari muelezee wasiwasi wako watakushauri ufanye nini

Poa haina tabu kaka,kwa pale ocean road gharama zake za kuonana na dokta kama unazifahamu naomba unijuze.
 

Huwezi pata contact zake kwa uhakika zaidi kama mtu anataka kwenda huko.
 
we Satuuuu hayo aliyoyasema flintsky katika hiyo post ya #65 yafuatilie na wala usiyapuuzie, maana hata mimi nina ushuhuda na huyu mzeee. Yani akikutibu unapona kabisa.. na gharama zake ni ndogo sana tena zaidi ya sanaa
Nashukuru kwakweli aneniongezea imani maana niliskia kwa mtu sasa ujue ukisha kuwa na tatizo utaambiwa mengi lakini sasa lazma nikamuone huyu mzee na nitaleta mrejesho humu
 
Poa haina tabu kaka,kwa pale ocean road gharama zake za kuonana na dokta kama unazifahamu naomba unijuze.
Sio lazma uanzie kule jaribu ata kwenda hosp za mkoa waambie unataka kuchunguza zaidi juu ya hio hali, ktk jamii yetu ni wengi sana huwa na matatizo kama haya lakini hawajui na wakienda ktk hosp zetu ndogo basi huambiwa Lamda wafanyiwe oprtn waitoe ni jambo lakushangaza kwakweli
 
Huwezi pata contact zake kwa uhakika zaidi kama mtu anataka kwenda huko.
sina contact ila huwa ana watu wengi anawatibia na huwa hatibu ijumaa na jumatatu kama sikosei nilishapeleka watu wengi sana wengine walitoka arabuni.usafiri upo ukitaka private au bodaboda au hiace vyote vinapatikana.wagonjwa wake hupumzika hapo kwake kusubiri huduma hivyo malazi yapo ya kawaida tu.nyumba ya mungu sio mbali kutoka barabara kuu ya arusha to dar ni kama mwendo wa dkk45
 
Hakika siwezi dharau nitafanya hivyo maana nilikua natumia kitunguu swaumu chenyewe ktk maji ya uvuguvugu ss nitachanganya na asali
Kitunguu swaum, asali na limao dear....... Ukiwa unajiandaa kwenda labda huko ocean road au india
 
Ni Leukemia (CML)
Great. CML sio mbaya sana. Usually AML ndio mbaya. Dawa zitakusaidia na maombi pia. Mara chache CML inaweza kuchange kuwa AML. Wataalamu huita hii kitu Acute on chronic leukemia. Hiyo ndiyo inaua watu wengi wenye CML. Nyerere alikuwa na CML, kama sijakosea. Yesu anaponya sio Buddha au hao wengine. Amen!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…