Nahitaji ushauri wako kuhusu saratani ya damu

Nahitaji ushauri wako kuhusu saratani ya damu

Hii thread nimeiona late ila kama binadamu I have to be so concerned. Pole sana kaka, ninaposema pole sina maana tatizo lako ni kubwa kuliko Mungu, hapana. Nimejaribu kusoma comment za watu nimeona kuna mdau kakushauri kuhusu kitunguu swaumu, asali na limao hivi vitu vinauwezo mkubwa wa kufanya magic, ningependa kukushauri kwamba katika Asali jaribu kutafuta ile asali ambayo ni pure, haijachakachuliwa na pia kuna sukari nyingi mjini ambazo zinatengenezwa na sukari guru, hizi haziwezi kufanya kazi kama asali orijino. Katika kununua asali zingatia sana hilo mkuu ili kupata tiba sahihi.

Mungu ni mkubwa kuliko matatizo /magonjwa yanayotusumbua.
Asante mkuu
 
Umesema tu kansa ya damu bila ya ufafanuzi wowote,
hiyo damu yako inafanyaje
Umesema kuna uvimbe
Bila ufafanuzi wowote
Wadau wamechangia vizuri tu
Ila nasisitiza mnaotumia tiba ya kitunguu swaum
Kuna baadhi ya watu uwa wanapata matatizo ya kiafya je, mnafahamu hayo matatizo ya kiafya baada ya matumizi ya kitunguu swaum tuwekane sawa..kutumia dawa bila angalizo lolote ni hatari kwa afya yako. .
 
Mkuu Satuuu pole sn, Nakushauri uende huko nyumba ya Mungu kwa huyo mzee bila kuchelewa pia nakushauri umtafute mkuu Decepption atakusaidia, wakati huo huo endelea kutumia vitunguu swaumu asali na limao kama ulivyoshauriwa,jitahidi kupata asali pure.Kuwa makini na waganga wengine wa kienyeji.Ninakuombea uponyaji wa haraka kaka yangu.Mwenyezi Mungu akakusimamie na kukupigania.
 
Umesema tu kansa ya damu bila ya ufafanuzi wowote,
hiyo damu yako inafanyaje
Umesema kuna uvimbe
Bila ufafanuzi wowote
Wadau wamechangia vizuri tu
Ila nasisitiza mnaotumia tiba ya kitunguu swaum
Kuna baadhi ya watu uwa wanapata matatizo ya kiafya je, mnafahamu hayo matatizo ya kiafya baada ya matumizi ya kitunguu swaum tuwekane sawa..kutumia dawa bila angalizo lolote ni hatari kwa afya yako. .

Matatizo ya kiafya kama yapi mkuu?
 
Mkuu Deception nakupongeza kwa hekima, maarifa, ujuzi na kipawa ulichopewa kuwasaidia kwenye uhitaji hususan kwenye eneo la matibabu.
Naona katika post yako hapo juu umesema cancer haitibiwi kwa maombi. Umekataa suala la maombi lakini hapo chini umeji contradict tena kuwa huenda Mungu amejibu maombi yake kwa wewe kujitokeza kutoa msaada. Nimefurahi kwa kuji contradict kwako which proves that God still answer prayers.
Mkuu, mwanzo umesema Mungu ametupa maarifa lakini unakataa kuwa kansa haitibiwi kwa maombi. Biblia inatuthibitishia kuwa Mungu mwenyewe alitibu magonjwa mengi ya mwanadamu kansa pia ikiwemo.
Huwezi kumweka Mungu mbali kwenye eneo lolote la maisha ya binadamu. Wapo watu wameponywa hadi ukimwi kwa maombi. Mungu bado anabaki kuwa mponyaji wa kwanza na wa mwisho. Mwanadamu anatumiwa tu.
Maarifa yako uliyopewa na Mungu yasikufanye usahau ukuu wa Mungu.
To your surprise unaweza kumpata Ndugu Satuuuu ukampa dawa na ukashindwa kumponya ukashangaa anaponywa na Mungu kupitia maombi.
Anyway,Mungu akuongezee maarifa kila umkumbukapo na kumwabudu.
Nilitaka kukukumbusha hilo tu. Nilidhani umesahau
Mkuu samahani kama nimekukwaza.....huwa sipendi sana kujadili masuala ya kidini/imani,kwa maana sipendi kuwakwaza watu.Masuala ya kiimani yana contradictions sana na ndio maana nimetumia lugha hiyo kumwepusha mgonjwa ili asifikie maamuzi ambayo si sahihi....Kuna imani/dini nyingi...sio kweli kwamba mungu wa kwenye biblia unayemzungumzia ni sawa na yule wa kwenye Quran,ingawa wote hawajawahi kuonekana....hii ni proof inayotokana na maandiko tu ya pande zote mbili...sasa mimi sijui yupi ndio mungu wa kweli ingawa watu husema mungu ni mmoja tu.

Kwenye masuala haya ya imani huwa natumia lugha fulani kuepuka kukwaza watu,ndio maana unaona contradictions hizo hutokea,contractions hiuzo zinatokea kwakua sipendi kuweka wazi sana kile ninachokijua kuhusu masuala ya imani/dini......lakini nikiamua kuwa muwazi huwezi kuona hizo contractions.

Tusifikie huko kwenye kujadili imani,maana uzito wa hoja nilizonazo sidhani kama watu wataweza kuzivumilia...sipendi kuwakwaza watu.

Note: Hivi mgonjwa wetu amefikia wapi?Any update pls,maana sikuwepo kwa muda mrefu.
 
Mkuu hata haya mengine unayoyaeleza pia kuna watu una wakwaza kwao wao huona unapotosha watu na pengine hata kusababisha madhara. Nadhani hata wewe unajua ila huwezi kuacha kueleza kwa sababu nia yako ni kuwaondoa watu kwenye huu uzushi,kwa hoja hiyo pia sidhani kama ni sawa kuogopa kueleza kwa kuhofia kuwakwaza watu.

Lakini hata kama utaacha hayo mambo ya imani bado kuna mambo mengi naamini unayajua ambayo wengi tumedanganywa mbali na haya yenye kuhusu maradhi na madawa,hivyo ingekuwa vizuri kama hayo mengine nayo ungetutoa tongotongo pia.
 
satuu unaendeleajee tupe updates MUNGU akupe uponyaji
 
Back
Top Bottom