Mkuu samahani kama nimekukwaza.....huwa sipendi sana kujadili masuala ya kidini/imani,kwa maana sipendi kuwakwaza watu.Masuala ya kiimani yana contradictions sana na ndio maana nimetumia lugha hiyo kumwepusha mgonjwa ili asifikie maamuzi ambayo si sahihi....Kuna imani/dini nyingi...sio kweli kwamba mungu wa kwenye biblia unayemzungumzia ni sawa na yule wa kwenye Quran,ingawa wote hawajawahi kuonekana....hii ni proof inayotokana na maandiko tu ya pande zote mbili...sasa mimi sijui yupi ndio mungu wa kweli ingawa watu husema mungu ni mmoja tu.
Kwenye masuala haya ya imani huwa natumia lugha fulani kuepuka kukwaza watu,ndio maana unaona contradictions hizo hutokea,contractions hiuzo zinatokea kwakua sipendi kuweka wazi sana kile ninachokijua kuhusu masuala ya imani/dini......lakini nikiamua kuwa muwazi huwezi kuona hizo contractions.
Tusifikie huko kwenye kujadili imani,maana uzito wa hoja nilizonazo sidhani kama watu wataweza kuzivumilia...sipendi kuwakwaza watu.
Note: Hivi mgonjwa wetu amefikia wapi?Any update pls,maana sikuwepo kwa muda mrefu.