sukhoi su35
Member
- Jan 29, 2025
- 17
- 38
Umefanya jambo jema sana kuomba ushauri....!! Mimi nakupa ushauri ulio gawanyika katika sehemu kuu 2Nina jambo zito ambalo limenifanya niwe na wasiwasi mwingi, na nataka kupata mawazo ya watu wengine ili nijue ni vipi niendelee.
Hivi karibuni, nilikuwa nikichunguza simu ya mke wangu na kugundua kwamba anayo akaunti nyingine ya TikTok ambayo haina picha wala followers. Nilichokutana nacho kwenye sehemu ya search ya akaunti hiyo kiliashiria kuwa bado anahusiana na ex wake kwa namna fulani, na hii ilinifanya niwe na maswali mengi. Hii imeleta wasiwasi kwangu na kujua kama bado anamhisi ex wake au kama kuna kitu ambacho hajaniambia.
Nashindwa kujua ni hatua gani niichukue. Nataka kujua kama ni vyema kumwambia mke wangu hili na tuzungumze, au kama inafaa kuwaachana na kutafuta mtu mwingine kwa kuwa nampenda, lakini najihisi kama sina uhakika tena na hali yetu.
Je, ni vema kumwambia mke wangu hisia zangu au ni bora nimpe uhuru ili tuendelee na maisha yetu kwa njia tofauti?
Ningependa sana kupata mawazo ya watu ambao wamepitia hali kama hii au wanaweza kutoa ushauri mzuri kuhusu namna ya kushughulikia jambo hili.
View attachment 3225775
View attachment 3225776
Ana google dalili kama ex wake bado anampenda 😀😀Sijajua ni ganja za zaja usiku zinanifanya niwe hivi ama niaje
Ama shida sina D mbili?
Hapo amesaliti nini wakuu?
So it means kuanzia 2017 ulikuwa upo nae kwenye mahusiano?Ndoa ina miaka miwili nanusu
Tulijuana naye 2017 tukaoana 2022
Mke wangu miaka 27
Aithubutuuuuu kabisa yaaaniHilo la kumzalisha litakuwa kosa kubwa sana.
So it means kuanzia 2017 ulikuwa upo nae kwenye mahusiano?
Najaribu kufikiria from 2017 to 2022 marriage, then from 2017, ,2022 up-to-date
Huyo ex ana kipi Cha upekee kiasi cha kushindwa kusahauliwa?
Je ex wake ndiye first man wake? Tho hii Haina maana sana!
Okay! Age ya mkeo nayo, kama kwa umri huo si wale wadada wenye hofu ya Mungu, watu wa maombi and mostly wenye Maarifa na upeo mkubwa wa kufikiri! Inaweza kuwa changamoto!
Kikubwa kaa nae chini kwa upendo mueleeze ulichokiona! Mueleze madhara ya yeye kufanya ivo juu ya ndoa yenu!
Read her mind, her spirit wakati ukiwa unaongea juu ya hili jambo!
Kama anajielewa ataacha na kubadilika ila ni wakina shwashwasu itakuwa ngumu
Mie ndo sijaelewa kabisaaa.Sijajua ni ganja za zaja usiku zinanifanya niwe hivi ama niaje
Ama shida sina D mbili?
Hapo amesaliti nini wakuu?
Ziara za kushtukiza ni muhimu mara mojamoja kutengeneza hofu na mipaka. Unaweza jiamini kumbe mwenzio anakiwasha mtaani wanaume wote akipita mbele yao ni kama yuko uchi.
Unamkumbuka kiasi cha kumtafuta?Ex wangu niliyeachana nae mwanzoni mwa 2016 lakini hadi muda huu sijamsahau, hana kitu cha upekee