Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeolewa wewe na hiyo simu yako, itapigwa doria zote au privacy haipo kwenye hiyo package ya mwili mmoja?
Unamkumbuka kiasi cha kumtafuta?
Maana kwa case hii! Inaonekana muhusika yupo so desperate na ex wake! Ni ivo ivo kwako?
Mzee huyo ex zaidi ya miaka 8 hasahauliki tu au ni mwizi wako??Ndoa ina miaka miwili nanusu
Tulijuana naye 2017 tukaoana 2022
Mke wangu miaka 27
Ukimchunguza bata hwezi kumla so potezea ni suala la mda atamsahau kingine mzalishe awe na majukumu akose mda wa mambo hayo
Atakuwa alikuwa anakupga mashuti ya mbali kama Ronaldo, mixer kutumia miguu yote kama Messi😃Ex wangu niliyeachana nae mwanzoni mwa 2016 lakini hadi muda huu sijamsahau, hana kitu cha upekee
Nina jambo zito ambalo limenifanya niwe na wasiwasi mwingi, na nataka kupata mawazo ya watu wengine ili nijue ni vipi niendelee.
Hivi karibuni, nilikuwa nikichunguza simu ya mke wangu na kugundua kwamba anayo akaunti nyingine ya TikTok ambayo haina picha wala followers. Nilichokutana nacho kwenye sehemu ya search ya akaunti hiyo kiliashiria kuwa bado anahusiana na ex wake kwa namna fulani, na hii ilinifanya niwe na maswali mengi. Hii imeleta wasiwasi kwangu na kujua kama bado anamhisi ex wake au kama kuna kitu ambacho hajaniambia.
Nashindwa kujua ni hatua gani niichukue. Nataka kujua kama ni vyema kumwambia mke wangu hili na tuzungumze, au kama inafaa kuwaachana na kutafuta mtu mwingine kwa kuwa nampenda, lakini najihisi kama sina uhakika tena na hali yetu.
Je, ni vema kumwambia mke wangu hisia zangu au ni bora nimpe uhuru ili tuendelee na maisha yetu kwa njia tofauti?
Ningependa sana kupata mawazo ya watu ambao wamepitia hali kama hii au wanaweza kutoa ushauri mzuri kuhusu namna ya kushughulikia jambo hili.
View attachment 3225775
View attachment 3225776
😀😀 privacy haiko within..Umeolewa wewe na hiyo simu yako, itapigwa doria zote au privacy haipo kwenye hiyo package ya mwili mmoja?
😂😂😂😂😂 Wanders shall never end,amkimfumania hapo atakufa,nguvu ya mapenzi😄Ana google dalili kama ex wake bado anampenda 😀😀
Kunywa bia nalipia kwa namba ya nida mkuu 🤣🤣🤣Mshike kwa mikono, mwangalie ndani ya macho,
Mpeleke kando Namwambie
"WEWE NI TAPELI, NIMEAMUA KUKATAA NDOA"