Nahitaji ushauri wenu kuhusu uhusiano wangu na mke wangu

Mzee wew cheza part Yako Karne hii maku siyo ya kuitolea San macho., ila akishika tu ujamzito Anza kuandaa Hela ya DNA.
 
Ukimchunguza bata hwezi kumla so potezea ni suala la mda atamsahau kingine mzalishe awe na majukumu akose mda wa mambo hayo

Muambie tu jamaa ukweli, mke wake tu sio kwamba ana upendo Ila pia ana obsession na huyo jamaa ndio maana hata baada ya miaka mitano ya mahusiano. Bado anaishi akilini mwake

Nachokiona roho ya mwanamke inatapatapa, yawezekana anajua husband ni mtu sahihi kwake Ila upendo alionao kwa jamaa mwingine bado unamsumbua. Ndio maana katengeneza account ya siri TikTok ili asiache hata ushahidi kwenye browser au popote sababu anaheshimu na kujali hisia za mumewe Ila hajui cha kufanya juu ya hisia zake.

Sasa hapo kuna mawili

Aidha Ex kasha_move on na ana maisha yake kiasi hataki mawasiliano na bi dada ndio maana anahangaika. Sio ajabu kusiwe na tiktok tu, hata line ya siri inaweza kuwepo

Au Ex anamcheki au kuna point of contact ipo ila bi dada anajizuia.

So hapo jamaa akubaliane na hali, pengine mkewe anamjali, kumuheshimu na kaupendo kiasi anako kwake. Ila chaka la mke wake lipo kwa huyo Ex sasa happ itategmeana na uamuzi wa Ex. Kama akimkomalia vizuri, mkewe chances za kuruka kiunzi ni ndogo sana
 
Ex wangu niliyeachana nae mwanzoni mwa 2016 lakini hadi muda huu sijamsahau, hana kitu cha upekee
Atakuwa alikuwa anakupga mashuti ya mbali kama Ronaldo, mixer kutumia miguu yote kama MessiπŸ˜ƒ
 
Hapana unakosea unaposema β€œmke wangu” sahihi sema ”mke wetu” kwa sababu once ulimuoa hana bikra ni dhahiri alikuwa na mabwana wengine na ndiyo hao wanaokuletea shida.

Achana na hiyo takataka utakufa siku siyo zako.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kwanini ulikimbilia ndoa kabla hujawa mwanaume? Hiki ambacho umekiandika na kutaka ushauri ilitakiwa andike mvulana wa kidato Cha nne au sita.
Mkeo ana akaunti 2, moja unaijua na inajulikana na hii nyingine huijui na anaitumia kuwasiliana na x wake halafu unaulizwa ufanye nini? Unamuogopa mkeo? Mkeo ana sauti ndani ya nyumban? ni mkali kwako? Kama jibu ni hapana, kwanini unaogopa kumwambia mkeo kuhusu Hilo suala?

Kuwa mwanaume ndan ya nyumba yako, ipo siku utaletewa mme mwenzako ndani.
 

1. Mna mda gani wa ndoa?
2. Mna watoto wangapi?

Nijibu haya Halafu nitakushauri!
 
Kijana huna namna ya kuzuia wf asiendelee na ex wake, endelea na mishe zako kijana
 
Ana google dalili kama ex wake bado anampenda πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wanders shall never end,amkimfumania hapo atakufa,nguvu ya mapenziπŸ˜„
 
Mwambie tena mwambie kwa ukali na utoe ultimatum ili akirudia ajue consequences.

Lakini kwa asilimia kubwa atarudia kuwasiliana naye tu na hapo bado ana hisia naye..

Binadamu ana njia nyingi huwezi kumshinda atatafuta kisimu cha tochi atakificha hata sauti hakina ndio atatumia
 
Mshike kwa mikono, mwangalie ndani ya macho,
Mpeleke kando Namwambie

"WEWE NI TAPELI, NIMEAMUA KUKATAA NDOA"
Kunywa bia nalipia kwa namba ya nida mkuu 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…