Nahitaji ushauri wenu kuhusu uhusiano wangu na mke wangu

mmh hiyo search history yake, yuko more than obsessed na Ex wake.
 
Utaletewa ukimwi ww,
Kwa hiyo ukikagua ndiyo huletewi.....?

Piga punyeto...... mahusiano mnaongea na kushauriana....huwezi ukaniambia eti ushinde kuipekenyua simu kisa unaogopa magonjwa.

Mfano mimi nikitaka kucheat hata uangalie kwenye simu hakuna kitu.
 
Acha kujiletea sukari.

hiyo sio history. Ni tiktok suggestions.

Sijui kwann tiktok wanafanya hivo,
Angalia ya kwangu hapa na hua si search chochote ni ku scrol tu kinacho kuja
 

Attachments

  • Screenshot_20250205-201453.png
    214.9 KB · Views: 4
Ndoa ina miaka miwili nanusu
Tulijuana naye 2017 tukaoana 2022
Mke wangu miaka 27
Yaani tangu mjuane hadi sasa ni miaka 7 lakini bado hajatulia,huebda haukufanya chaguo sahihi au hajakupenda yuko na wewe kwa sababu ya uhakika wa maisha kwenye upande wa kipato ila akili yake haiko na wewe.
 
Wengi wape mkuuu....Apa tutatoa madini inawezekana hata ww yakakusaidia huko baadae,sharing is caring tambua hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…