Nahitaji Ushauri Wenu: Nimejawa na hofu ya ugonjwa wa UKIMWI

Joined
May 13, 2025
Posts
84
Reaction score
125
Ndugu Zanguni Poleni Na Majukumu .

Nimekuja hapa kwa ajili ya ushauri wenu ,atakaenibeza Mungu amsamehe .

Nimewahi kuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mzuri .

Siku ya kwanza wakati nashiriki nae nimeshiriki nae kwa kupeana denda na kuchezeshea mzee sehemu yenyewe ,kuingia ikafanye kazi ilishindikana mzee akawa amelala akashindwa hata kuingia.

Siku nyingine nilifanya nae kwa CD , baada ya hapo tukaenda kupima mimi na yeye na majibu yakaja wote NEGATIVE .

Lakini nikaendelea kula kwa CD .

Siku moja nikampiga kimoja bila soksi ,baada ya happ nikasikia scandle kutoka kwa jamaa zangu wakisema demu kaungua na waya .

Jambo hilo lilinifanya nirudi nae kupima lakini majibu yakatoka vile vile ni NEGATIVE.

SWALI: JE MWASILIKA ANAWEZA KUPIMA KWENYE KIPIMO CHA HIV 1,2,3 NA BADO MAJIBU YAKAJA NEGATIVE WAKATI NI MWASILIKA ? HUYO DADA NIMEACHANA NAE TAREHE 31/03/2025 , NIMEKAA SIKU 42 NIMEENDA KUPIMA VIPIMO VYA AINA MBILI S BILLION NA UN GOLD LAKINI NAONEKANA NIKO SALAMA WAKATI JAMAA ZANGU WANAJUA AMEUNGUA ,KIUKWELI HALI HII INANINYIMA AMANI .

NA MARA YA MWISHO WAKATI NAMPIMA NAE NILIMSHTUKIZA KWENDA KUPIMA NA AKAKUBALI , LAKINI KWA MANENO YA JAMAA ZANGU NIMEJAWA NA HOFU YAKUATHIRIKA , MIMI SIYO MPENDA NGONO LKN KWA HUYU DADA NILIMPENDA NIKIAMINI YUKO VZR .

IMEFIKIA HATUA NIMEWEKA TARATIBU NATAKA NIRUDI KUPIMA KAMA MARA TATU 03 NDO NIENDE KWENYE FAMILIA YANGU MWEZI WA TISA , ILI KAMA NIMEJIKWAA NISIMUUE MKE WANGU .

NATANGULIZA SHUKURANI NA PIA ATAKAYENIKEJELI MUNGU AMSAMEHE .

NA NACHOTAKA KUJUA JE MWASILIKA ANAWEZA KUWA ANATUMIA DAWA FULANI NA WINDOW PERIOD ISIONESHE ?
 
Pambana na hali yakooo nduguuuu

Ama subiria wazinzi wenziooo wakujibuu ama kukushauriii
 
Walimwengu wanajua kuzusha sana na kuaminisha watu uzushi wao.

Hongera kwa uzima

Na usichepuke tena
 
Uko salama acha woga,ila acha uzinzi usirudie tena...
 
Jamaa zako walitaka uachane naye tu!
 
Acha upuuzi, kitaani wengi wameathirika kwa mujibu wa midomo ya watu lakini Kwa mujibu wa vipimo kuna walioathirika kweli na wengine wameathirika kiuongo. Usikute hata wewe washaanza kukusema kuwa umeathirika. Kapime amini majibu ya wataalamu siyo midomo ya watu
 
Tembea kifua mbele kwamba wewe ni mzima ,mimi napima mara moja na hapo hapo nampalua sirudii kumpalua kama alikuwa yupo window piriod possibilities inakuwa ndogo ya kuupata so kuamini.
 
Shida hapo sio dada ni umri wako badala ya ku enjoy sex unaanza kuwaza "washkaji wanasemaje"shauri zako
 
kwa hiyo ulimuacha baada ya kuambiwa kuwa kaungua au kulikuwa na sababu nyingine?
Nilimuacha kwa sababu ya maneno ya jamaa zangu kuniambia kuwa ana ngoma lakini nikajiuliza why apimwe iwe Negative? Tena mara mbili kote tatizo nini haswa ?
 
Shida hapo sio dada ni umri wako badala ya ku enjoy sex unaanza kuwaza "washkaji wanasemaje"shauri zako
Ndugu , hofu imenitawala sana lakini nikiwaza majibu ya vipimo mara mbili kote huwa naamini ni mzima ila wakati mwingine nakataa nikiamini maneno ya watu.
 
Back
Top Bottom