Ndugu Zanguni Poleni Na Majukumu .
Nimekuja hapa kwa ajili ya ushauri wenu ,atakaenibeza Mungu amsamehe .
Nimewahi kuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mzuri .
Siku ya kwanza wakati nashiriki nae nimeshiriki nae kwa kupeana denda na kuchezeshea mzee sehemu yenyewe ,kuingia ikafanye kazi ilishindikana mzee akawa amelala akashindwa hata kuingia.
Siku nyingine nilifanya nae kwa CD , baada ya hapo tukaenda kupima mimi na yeye na majibu yakaja wote NEGATIVE .
Lakini nikaendelea kula kwa CD .
Siku moja nikampiga kimoja bila soksi ,baada ya happ nikasikia scandle kutoka kwa jamaa zangu wakisema demu kaungua na waya .
Jambo hilo lilinifanya nirudi nae kupima lakini majibu yakatoka vile vile ni NEGATIVE.
SWALI: JE MWASILIKA ANAWEZA KUPIMA KWENYE KIPIMO CHA HIV 1,2,3 NA BADO MAJIBU YAKAJA NEGATIVE WAKATI NI MWASILIKA ? HUYO DADA NIMEACHANA NAE TAREHE 31/03/2025 , NIMEKAA SIKU 42 NIMEENDA KUPIMA VIPIMO VYA AINA MBILI S BILLION NA UN GOLD LAKINI NAONEKANA NIKO SALAMA WAKATI JAMAA ZANGU WANAJUA AMEUNGUA ,KIUKWELI HALI HII INANINYIMA AMANI .
NA MARA YA MWISHO WAKATI NAMPIMA NAE NILIMSHTUKIZA KWENDA KUPIMA NA AKAKUBALI , LAKINI KWA MANENO YA JAMAA ZANGU NIMEJAWA NA HOFU YAKUATHIRIKA , MIMI SIYO MPENDA NGONO LKN KWA HUYU DADA NILIMPENDA NIKIAMINI YUKO VZR .
IMEFIKIA HATUA NIMEWEKA TARATIBU NATAKA NIRUDI KUPIMA KAMA MARA TATU 03 NDO NIENDE KWENYE FAMILIA YANGU MWEZI WA TISA , ILI KAMA NIMEJIKWAA NISIMUUE MKE WANGU .
NATANGULIZA SHUKURANI NA PIA ATAKAYENIKEJELI MUNGU AMSAMEHE .
NA NACHOTAKA KUJUA JE MWASILIKA ANAWEZA KUWA ANATUMIA DAWA FULANI NA WINDOW PERIOD ISIONESHE ?