Nahitaji Ushauri Wenu: Nimejawa na hofu ya ugonjwa wa UKIMWI

Nahitaji Ushauri Wenu: Nimejawa na hofu ya ugonjwa wa UKIMWI

kuna majamaa wanatabia za ******* demu kama ni mzuri au amewakataa wanazusha eti anangoma wapuuzi sana.
We acha tu walinihakikishia etii ana Ngoma , nilichojiuliza mara mbili kote vipimo vinanidanganya !! Nikawa nabaki bila majibu sahihi.
 
Acha upuuzi, kitaani wengi wameathirika kwa mujibu wa midomo ya watu lakini Kwa mujibu wa vipimo kuna walioathirika kweli na wengine wameathirika kiuongo. Usikute hata wewe washaanza kukusema kuwa umeathirika. Kapime amini majibu ya wataalamu siyo midomo ya watu
Nimepima mara kadhaa ,hata nilipokuwa na huyo mwanamke nimepima nae mara mbili, na sasa baada ya kumuacha nina siku 42 nimepima mwenyewe na bado nipo majibu ni negative.
 
Walimwengu wanajua kuzusha sana na kuaminisha watu uzushi wao.

Hongera kwa uzima

Na usichepuke tena
Siwezi kuchepuka tena , endapo vipimo sijaviamini mpaka sasa lakini bado naendelea kutafuta kipimo kikubwa kufikia mwezi wa saba tarehe 3 niwe nimepima maana ntakuwa nimemaliza miezi mitatu 03 kamili , bila kushiriki nae sababu mpaka sasa nina mwezi 1 na wiki mbili sijashiriki nae, na nimepima majibu yakaja NEGATIVE na nimemuacha kimya kimya, sitamani hata niwe kwenye mahusiano ya aina yoyote ile .

Mungu akiniapusha na hizi maneno ya watu daima naahidi SITACHEPUKA KAMWE najua nitakufa lakini ugonjwa wa UKIMWI nauogopa sana na nilivyotanguliza kusema ,mimi siyo mzinzi sana hata hapa nahisi niliteleza tu.
 
Walimwengu wanajua kuzusha sana na kuaminisha watu uzushi wao.

Hongera kwa uzima

Na usichepuke tena
Kwangu mimi kuchepuka siwezi tena, naendelea kumuomba MUNGU anijalie tu kila ninapopima niwe salama maana hofu imenitawala ,nimepima kwa hizo siku 42 bila kushiriki nae lakini kipimo kinaonesha sina kiashiria chochote kile cha maambukizi niko vzr .
 
Ndugu , hofu imenitawala sana lakini nikiwaza majibu ya vipimo mara mbili kote huwa naamini ni mzima ila wakati mwingine nakataa nikiamini maneno ya watu.
Usijali Bahati nzuri tumepewa kuzoea na kusahau na wewe hiyo hali itaondoka baada ya kuzoea hizo kelele na kusahau
 
Ni kweli lakini baada yakuambiwa nilijihisi tofauti,mpaka nikawa nawaza ina maana vipimo vinadanganya au aliyeungua nae kuna muda akienda kupima haisomi ?
wengi inakuwa ni wivu tu ili umwache usishangae wanaenda tena kwa demu kukupaka
 
Ni kweli lakini baada yakuambiwa nilijihisi tofauti,mpaka nikawa nawaza ina maana vipimo vinadanganya au aliyeungua nae kuna muda akienda kupima haisomi ?
kama anayo lazima kisome tu .kipimo cha kuhakikisha ni ungold
 
Ni kweli lakini baada yakuambiwa nilijihisi tofauti,mpaka nikawa nawaza ina maana vipimo vinadanganya au aliyeungua nae kuna muda akienda kupima haisomi ?
Kwahiyo wewe unaamini maneno ya vijiweni kuliko vipimo..?
 
Bidada ni mzm na wewe ni mzm.

Ukimwi haupimwi Kwa kiwango Cha umalaya wa MTU.

Ukimwi unapimwa Kwa Vipimo .
Mkuu , mimi bado wasiwasi umetanda mpaka leo yaani siamini kama ni mzima mbali na vipimo kupita , sababu maneno ya jamaa zangu yalinifanya niamini kawaka.
 
Ujinga tu, Yani mtu mzima unaogopa Ukimwi?

Huyo mke wako unaesema Hutaki Kumuua Unajua Uku uliko Muacha ana Chakatwa Dry na Wahuni?

Yeye ndio atakuua sasa

stand as a man mzee
 
Kupima sio mchezo, nilipimwa kwa lazima ... now nitakua makini mno.
 
Kupima sio mchezo, nilipimwa kwa lazima ... now nitakua makini mno.
Mimi pia nimepima nikiwa na mwezi mmoja na wiki mbili niko vzr , na mbali na hapo demu nimepima nae zaidi ya mara moja na kila nilivyopima nae ni NEGATIVE , lakini washikaji wawili walinihakikishia ana ngoma , nimewahi uza mechi ya kwanza kwa denda na kuchezea sehemu husika bila kuweka ilikuwa mwezi wa February 04 baada ya haoo nikaanza kula kwa CD ,ila tarehe 31 ya mwezi March mwaka huu nikauza mechi kwa bao la chap sababu nilikuwa nishapima nae mara mbili lkn jamaa kunisanua ana ngoma bado ninaishi kwa wasiwasi gani maana wao wanadai ni takribani zaidi ya mwaka huyo manzi ana ngoma , nachojiuliza hiyo ngoma ambayo haionekani kwenye kipimo ni ngoma gani ?

Basi mara ya kwanza nilimuandaa kupima lkn mara ya pili nilimshtukiza tukapima na bado majibu yakaja sote ni NEGATIVE lakini moyoni mwangu nakoswa amani , nikiona kaupele kachunusi kwenye mwili nahisi ni kaupele kangoma , nikikatumbua naona kachunusi 😢 , yaani sina amani sana kivile kwa maisha ya sasa ninayoishi mbali nakupima na yule manzi , maneno ya wanadamu huwa yamenikosesha amani ya moyo wangu endapo najiuliza yaani mwenye UKIMWI kipimo kisimsome mara mbili kote , nakoswa majibu najiuliza tatizo ni nini sasa kama hakimsomi na jamaa zangu wanadai kaungua ?
 
Back
Top Bottom