Prayallthetime
Member
- May 13, 2025
- 84
- 125
- Thread starter
-
- #21
We acha tu walinihakikishia etii ana Ngoma , nilichojiuliza mara mbili kote vipimo vinanidanganya !! Nikawa nabaki bila majibu sahihi.kuna majamaa wanatabia za ******* demu kama ni mzuri au amewakataa wanazusha eti anangoma wapuuzi sana.
Nimepima mara kadhaa ,hata nilipokuwa na huyo mwanamke nimepima nae mara mbili, na sasa baada ya kumuacha nina siku 42 nimepima mwenyewe na bado nipo majibu ni negative.Acha upuuzi, kitaani wengi wameathirika kwa mujibu wa midomo ya watu lakini Kwa mujibu wa vipimo kuna walioathirika kweli na wengine wameathirika kiuongo. Usikute hata wewe washaanza kukusema kuwa umeathirika. Kapime amini majibu ya wataalamu siyo midomo ya watu
Siwezi kuchepuka tena , endapo vipimo sijaviamini mpaka sasa lakini bado naendelea kutafuta kipimo kikubwa kufikia mwezi wa saba tarehe 3 niwe nimepima maana ntakuwa nimemaliza miezi mitatu 03 kamili , bila kushiriki nae sababu mpaka sasa nina mwezi 1 na wiki mbili sijashiriki nae, na nimepima majibu yakaja NEGATIVE na nimemuacha kimya kimya, sitamani hata niwe kwenye mahusiano ya aina yoyote ile .Walimwengu wanajua kuzusha sana na kuaminisha watu uzushi wao.
Hongera kwa uzima
Na usichepuke tena
Kwangu mimi kuchepuka siwezi tena, naendelea kumuomba MUNGU anijalie tu kila ninapopima niwe salama maana hofu imenitawala ,nimepima kwa hizo siku 42 bila kushiriki nae lakini kipimo kinaonesha sina kiashiria chochote kile cha maambukizi niko vzr .Walimwengu wanajua kuzusha sana na kuaminisha watu uzushi wao.
Hongera kwa uzima
Na usichepuke tena
Hata mimi nateseka sana , nimegoogle mara kibao , shida ya walimwengu wameniaminisha kwa asilimia zote kana kwamba wamempima wao.Hujapata UKIMWI bali umelikwaa pepo la wasiwasi.
Hilo pepo ni baya kuliko UKIMWI wenyewe.
Kuna jamaa lilimkumba aliteseka sana
Usijali Bahati nzuri tumepewa kuzoea na kusahau na wewe hiyo hali itaondoka baada ya kuzoea hizo kelele na kusahauNdugu , hofu imenitawala sana lakini nikiwaza majibu ya vipimo mara mbili kote huwa naamini ni mzima ila wakati mwingine nakataa nikiamini maneno ya watu.
Relax sasa shida nn au unataka ukimwi?Nimepima mara kadhaa ,hata nilipokuwa na huyo mwanamke nimepima nae mara mbili, na sasa baada ya kumuacha nina siku 42 nimepima mwenyewe na bado nipo majibu ni negative.
wengi inakuwa ni wivu tu ili umwache usishangae wanaenda tena kwa demu kukupakaWe acha tu walinihakikishia etii ana Ngoma , nilichojiuliza mara mbili kote vipimo vinanidanganya !! Nikawa nabaki bila majibu sahihi.
wengi inakuwa ni wivu tu ili umwache usishangae wanaenda tena kwa demu kukupaka
Ukijitunza hautakufa?Acha kutomba HOVYO,sio sifa .jitunze fala wewe utakufa.
Jitunze,
kama anayo lazima kisome tu .kipimo cha kuhakikisha ni ungoldNi kweli lakini baada yakuambiwa nilijihisi tofauti,mpaka nikawa nawaza ina maana vipimo vinadanganya au aliyeungua nae kuna muda akienda kupima haisomi ?
Kwahiyo wewe unaamini maneno ya vijiweni kuliko vipimo..?Ni kweli lakini baada yakuambiwa nilijihisi tofauti,mpaka nikawa nawaza ina maana vipimo vinadanganya au aliyeungua nae kuna muda akienda kupima haisomi ?
Hapa nilitamani nipate majibu ya madaktari je kuna muda muathirika anaweza kupima mara mbili kote asionekane kuwa ni mwathirika ?Kwahiyo wewe unaamini maneno ya vijiweni kuliko vipimo..?
Mkuu , mimi bado wasiwasi umetanda mpaka leo yaani siamini kama ni mzima mbali na vipimo kupita , sababu maneno ya jamaa zangu yalinifanya niamini kawaka.Bidada ni mzm na wewe ni mzm.
Ukimwi haupimwi Kwa kiwango Cha umalaya wa MTU.
Ukimwi unapimwa Kwa Vipimo .
Bora aniue yeye kuliko nimuue mimi ,Ujinga tu, Yani mtu mzima unaogopa Ukimwi?
Huyo mke wako unaesema Hutaki Kumuua Unajua Uku uliko Muacha ana Chakatwa Dry na Wahuni?
Yeye ndio atakuua sasa
stand as a man mzee
Kwani wewe ni yesu?Bora aniue yeye kuliko nimuue mimi ,
Mimi pia nimepima nikiwa na mwezi mmoja na wiki mbili niko vzr , na mbali na hapo demu nimepima nae zaidi ya mara moja na kila nilivyopima nae ni NEGATIVE , lakini washikaji wawili walinihakikishia ana ngoma , nimewahi uza mechi ya kwanza kwa denda na kuchezea sehemu husika bila kuweka ilikuwa mwezi wa February 04 baada ya haoo nikaanza kula kwa CD ,ila tarehe 31 ya mwezi March mwaka huu nikauza mechi kwa bao la chap sababu nilikuwa nishapima nae mara mbili lkn jamaa kunisanua ana ngoma bado ninaishi kwa wasiwasi gani maana wao wanadai ni takribani zaidi ya mwaka huyo manzi ana ngoma , nachojiuliza hiyo ngoma ambayo haionekani kwenye kipimo ni ngoma gani ?Kupima sio mchezo, nilipimwa kwa lazima ... now nitakua makini mno.