Wenyewe wana uhakika vipi kama kaungua, ikiwa wewe tu kwa vipimo una ushahidi kuwa ni mzima? Wao wana ushahidi upi?Mimi pia nimepima nikiwa na mwezi mmoja na wiki mbili niko vzr , na mbali na hapo demu nimepima nae zaidi ya mara moja na kila nilivyopima nae ni NEGATIVE , lakini washikaji wawili walinihakikishia ana ngoma , nimewahi uza mechi ya kwanza kwa denda na kuchezea sehemu husika bila kuweka ilikuwa mwezi wa February 04 baada ya haoo nikaanza kula kwa CD ,ila tarehe 31 ya mwezi March mwaka huu nikauza mechi kwa bao la chap sababu nilikuwa nishapima nae mara mbili lkn jamaa kunisanua ana ngoma bado ninaishi kwa wasiwasi gani maana wao wanadai ni takribani zaidi ya mwaka huyo manzi ana ngoma , nachojiuliza hiyo ngoma ambayo haionekani kwenye kipimo ni ngoma gani ?
Basi mara ya kwanza nilimuandaa kupima lkn mara ya pili nilimshtukiza tukapima na bado majibu yakaja sote ni NEGATIVE lakini moyoni mwangu nakoswa amani , nikiona kaupele kachunusi kwenye mwili nahisi ni kaupele kangoma , nikikatumbua naona kachunusi 😢 , yaani sina amani sana kivile kwa maisha ya sasa ninayoishi mbali nakupima na yule manzi , maneno ya wanadamu huwa yamenikosesha amani ya moyo wangu endapo najiuliza yaani mwenye UKIMWI kipimo kisimsome mara mbili kote , nakoswa majibu najiuliza tatizo ni nini sasa kama hakimsomi na jamaa zangu wanadai kaungua ?
Nami namaini hivyo ni mzima maana mara mbili zote nimepima yuko safe ,na wao waliniambia anatumia ARV huyo lakini sasa nachanganyikiwa vipimo vinanionesha nimzima lakini maneno ya jamaa zangu etii mwathirika.Wenyewe wana uhakika vipi kama kaungua, ikiwa wewe tu kwa vipimo una ushahidi kuwa ni mzima? Wao wana ushahidi upi?
Labda kama anatumia ARV, ndio inakuwa ngumu kuambukiza mtu,lakini kwenye vipimo ingeonesha na am sure asingekubali kwenda kupima kama anajua kaathirika,huyo ni mzima tu kabisa.
Bidada ni mzm na wewe ni mzm.
Ukimwi haupimwi Kwa kiwango Cha umalaya wa MTU.
Ukimwi unapimwa Kwa Vipi
Incase viral load Iko Chini, vinasoma negative kwa wanaotumia dawa'Wenyewe wana uhakika vipi kama kaungua, ikiwa wewe tu kwa vipimo una ushahidi kuwa ni mzima? Wao wana ushahidi upi?
Labda kama anatumia ARV, ndio inakuwa ngumu kuambukiza mtu,lakini kwenye vipimo ingeonesha na am sure asingekubali kwenda kupima kama anajua kaathirika,huyo ni mzima tu kabisa.
kwahiyo viral load ikiwa chini je kuna uwezekano pia wakuniambukiza maana nimempima mara mbili kote kwa mwezi wa pili na wa tatu na bado ikawa NEGATIVE ,Inc
Incase viral load Iko Chini, vinasoma negative kwa wanaotumia dawa'
Ila ushauri aachane na kuhisi hisi au kusikiliza rumors za mtaani as long kampima na majibu ni NR, hakuna ulazima wa kuendelea kuwa na hofu
Una utotoMimi pia nimepima nikiwa na mwezi mmoja na wiki mbili niko vzr , na mbali na hapo demu nimepima nae zaidi ya mara moja na kila nilivyopima nae ni NEGATIVE , lakini washikaji wawili walinihakikishia ana ngoma , nimewahi uza mechi ya kwanza kwa denda na kuchezea sehemu husika bila kuweka ilikuwa mwezi wa February 04 baada ya haoo nikaanza kula kwa CD ,ila tarehe 31 ya mwezi March mwaka huu nikauza mechi kwa bao la chap sababu nilikuwa nishapima nae mara mbili lkn jamaa kunisanua ana ngoma bado ninaishi kwa wasiwasi gani maana wao wanadai ni takribani zaidi ya mwaka huyo manzi ana ngoma , nachojiuliza hiyo ngoma ambayo haionekani kwenye kipimo ni ngoma gani ?
Basi mara ya kwanza nilimuandaa kupima lkn mara ya pili nilimshtukiza tukapima na bado majibu yakaja sote ni NEGATIVE lakini moyoni mwangu nakoswa amani , nikiona kaupele kachunusi kwenye mwili nahisi ni kaupele kangoma , nikikatumbua naona kachunusi 😢 , yaani sina amani sana kivile kwa maisha ya sasa ninayoishi mbali nakupima na yule manzi , maneno ya wanadamu huwa yamenikosesha amani ya moyo wangu endapo najiuliza yaani mwenye UKIMWI kipimo kisimsome mara mbili kote , nakoswa majibu najiuliza tatizo ni nini sasa kama hakimsomi na jamaa zangu wanadai kaungua ?
Nimeuliza je nikipima baada ya kumaliza siku 100 naweza kuendelea kupimKwahiyo mwanetu unataka ukimwi??
Hata sasa huna haja ya kuendelea kupimaNimeuliza je nikipima baada ya kumaliza siku 100 naweza kuendelea kupim
Ndo nimetoka jana , nilienda hospitalini nikapima vipimo viwili cha mdomo na ABBOTT bado majibu yakaja NEGATIVE ,mimi kuuliza baada ya siku 100 naweza kuendelea kupima au hapana , nilihitaji kupata majibu naamini humu ndani madaktari wamo , course siwezi kuwa napima kila mweziKwani sisi ndio wapima ngoma? Nenda hospital
Hauna ngoma mkuu kua na amaniNdo nimetoka jana , nilienda hospitalini nikapima vipimo viwili cha mdomo na ABBOTT bado majibu yakaja NEGATIVE ,mimi kuuliza baada ya siku 100 naweza kuendelea kupima au hapana , nilihitaji kupata majibu naamini humu ndani madaktari wamo , course siwezi kuwa napima kila mwezi
Nishagaachana nae endapo moyo wangu hauna amani kabisa 😢😢Hao washkaji zako ni competitors wanataka wakupunguze kwenye competition 😂😂😂
kwamba usipo to...a haufiAcha kutomba HOVYO,sio sifa .jitunze fala wewe utakufa.
Jitunze,
shida yako ni kusikiliza maneno ya mtaaniWapendwa Natanguliza salamu zangu za dhati kwenu,
Asee ndugu zanguni nimepima siku ya jana na majibu yamekuja NEGATIVE kwa sasa sitaendelea na kupima na NINASEMA HIVI SITAUZA MECHI IWE KWA KUVAA CD AU KUTOKUVAA , NIMEAMUA KUSALIA NJIA KUU ILI MAISHA YAENDELEE.
Wanawake wengi tunajua hili kwambe me wakikukosa tu wanakutangazia kuukwaa ili kuogopewa Tena huyo alikupenda Sana Mimi huwezi kunipeleka kuoima kila kukicha nakuacha, maana huniaminuNdugu Zanguni Poleni Na Majukumu .
Nimekuja hapa kwa ajili ya ushauri wenu ,atakaenibeza Mungu amsamehe .
Nimewahi kuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mzuri .
Siku ya kwanza wakati nashiriki nae nimeshiriki nae kwa kupeana denda na kuchezeshea mzee sehemu yenyewe ,kuingia ikafanye kazi ilishindikana mzee akawa amelala akashindwa hata kuingia.
Siku nyingine nilifanya nae kwa CD , baada ya hapo tukaenda kupima mimi na yeye na majibu yakaja wote NEGATIVE .
Lakini nikaendelea kula kwa CD .
Siku moja nikampiga kimoja bila soksi ,baada ya happ nikasikia scandle kutoka kwa jamaa zangu wakisema demu kaungua na waya .
Jambo hilo lilinifanya nirudi nae kupima lakini majibu yakatoka vile vile ni NEGATIVE.
SWALI: JE MWASILIKA ANAWEZA KUPIMA KWENYE KIPIMO CHA HIV 1,2,3 NA BADO MAJIBU YAKAJA NEGATIVE WAKATI NI MWASILIKA ? HUYO DADA NIMEACHANA NAE TAREHE 31/03/2025 , NIMEKAA SIKU 42 NIMEENDA KUPIMA VIPIMO VYA AINA MBILI S BILLION NA UN GOLD LAKINI NAONEKANA NIKO SALAMA WAKATI JAMAA ZANGU WANAJUA AMEUNGUA ,KIUKWELI HALI HII INANINYIMA AMANI .
NA MARA YA MWISHO WAKATI NAMPIMA NAE NILIMSHTUKIZA KWENDA KUPIMA NA AKAKUBALI , LAKINI KWA MANENO YA JAMAA ZANGU NIMEJAWA NA HOFU YAKUATHIRIKA , MIMI SIYO MPENDA NGONO LKN KWA HUYU DADA NILIMPENDA NIKIAMINI YUKO VZR .
IMEFIKIA HATUA NIMEWEKA TARATIBU NATAKA NIRUDI KUPIMA KAMA MARA TATU 03 NDO NIENDE KWENYE FAMILIA YANGU MWEZI WA TISA , ILI KAMA NIMEJIKWAA NISIMUUE MKE WANGU .
NATANGULIZA SHUKURANI NA PIA ATAKAYENIKEJELI MUNGU AMSAMEHE .
NA NACHOTAKA KUJUA JE MWASILIKA ANAWEZA KUWA ANATUMIA DAWA FULANI NA WINDOW PERIOD ISIONESHE ?
Ndugu Zanguni Poleni Na Majukumu .