Nchi ya nn uende we fanya kwenda kwenye vyuo hasa ifm,cbe au Tia huko utawapata warembo wengi na utasidia kukuza uchumi wa ndan .Kuna uhaba wa ma sponsor katika vyuo vyetu
Samahani mkuu SINA cha kuchangia, nmezoea kujilia TU mboga twetu twa kienyeji hukuhuku ila nakuomba SANA chondechonde usikanyage Kenya. Mademu wana sura za Babu zao matako magumu kama jiwe la mwanamalunde 🤣🤣
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.