Nahitaji vijana 6 tufanye biashara. Vijana wanne tushapatikana

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
3,635
Reaction score
5,012
Nahitaji vijana 6 waliopo DSM wasio na ajira tuungane kufanya Car wash mjini tushapatikana 4 basi 6.

Sifa
1)utatakiwa uchange 100,000/= minimum mtaji
2)ume committed kutoa mawazo na utendaji maana tutaosha wenyewe.
3)Usiwe na kazi either kuajiriwa au kuwa unafanya biashara yoyote kwamaana wewe huwezi ukawa available muda wote na hutoweza kuona value ya tunachofanya tunataka Unemployed graduate.
4)uwe DSM

Mtaji tunaochanga ufikie jumla ya 1M ambao utatuwezesha kufanya Carwash.

GOAL: aim kuu ya project kutengeneza mtaji kwakila member mpaka kufikia mwezi wa 12.

NB: Commitment kama huna bora usi join na sisi, tumechuja mpaka tumebaki hao wa 4..

PM kama upotayari.
 
Tazama hii video.

Je kwanini nimeweka hii video?

Itaongeza tafakuri juu ya hii biashara ya uoshaji magari.

Fanyieni wazo hili la "mobile Car wash" - Ambapo mtatumia mitandao ya kijamii kujitangaza na kuwafikia wateja mahala walipo, nyumbani au ofisini, ninahakika kwa Dar mtafanikiwa sana.

Nawatakia kilalakheri
 
Shukran mkuu, nitazingatia hili.
 
Nahitaji vijana 6 waliopo DSM wasio na ajira tuungane kufanya Car wash mjini tushapatikana 4 basi 6.

Sifa
1)utatakiwa uchange 100,000/= minimum mtaji
2)ume committed kutoa mawazo na utendaji maana tutaosha wenyewe.
3)Usiwe na kazi either kuajiriwa au kuwa unafanya biashara yoyote kwamaana wewe huwezi ukawa available muda wote na hutoweza kuona value ya tunachofanya tunataka Unemployed graduate.
4)uwe DSM

Mtaji tunaochanga ufikie jumla ya 1M ambao utatuwezesha kufanya Carwash.

GOAL: aim kuu ya project kutengeneza mtaji kwakila member mpaka kufikia mwezi wa 12.

NB: Commitment kama huna bora usi join na sisi, tumechuja mpaka tumebaki hao wa 4..

PM kama upotayari.
Mkuu ni vema ukatoa mchanganuo zaidi, kwa million 1 car wash itakuwa na kiwango gani na faida inakuaje
Hii itasaidia vijana kujipambambanua vizuri na kujiunga na ninyi
 
Mchanganuo
*Mashine 700,000/=
*Vacuum cleaner 350,000/=
*Tank 3000mm bei 350,000/=

Total 1.4M as primary capital.

Kwasisi Vacuum sio muhimu Sana, muhimu ni
1)Mashine 650,000/=
2)pipa la maji hata la 50,000/=

So 800K au 900K inaweza kuwa mtaji kwa kufosi...mapaka 1M kuondoa utata.
 
Hio biashara inafanyika wapi? Kodi ya eneo kiasi gani? Kodi ya maji kiasi gani? Ujira wenu kwa siku kiasi gani? Mtaingiza kiasi gani kwa siku? Hivi ni vitu unavyotakiwa uweke wazi kabla ya mtu kuingia, vinginevyo hamtaelewana.
 
Hayo ni mawasilisho ya wazo mkuu, mpango mzima ndio upo kwenye IDEA STAGE | tuakiaa pamoja ndio tutapanga yote hayo kama utaelewa mie sio muajiri napangaje mishahara ya watu.
 
Ushauri katika choice ya hao sita weka hata kina dada wawili..., hii itawaletea uniqueness (sio wengi kina dada wanafanya hili) pia katika marketing itapendeza zaidi....

Though disadvantage hii inaweza kuwa mwanzo wa kutokuelewana na backstabbing kwa members... (whenever opposite attracts inakuja na mengineyo)
 
Mbinu nzuri ya biashara.
Ishu hapo commitment kwa wadada wengi tatizo.
 
Back
Top Bottom