October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Nahitaji vijana 6 waliopo DSM wasio na ajira tuungane kufanya Car wash mjini tushapatikana 4 basi 6.
Sifa
1)utatakiwa uchange 100,000/= minimum mtaji
2)ume committed kutoa mawazo na utendaji maana tutaosha wenyewe.
3)Usiwe na kazi either kuajiriwa au kuwa unafanya biashara yoyote kwamaana wewe huwezi ukawa available muda wote na hutoweza kuona value ya tunachofanya tunataka Unemployed graduate.
4)uwe DSM
Mtaji tunaochanga ufikie jumla ya 1M ambao utatuwezesha kufanya Carwash.
GOAL: aim kuu ya project kutengeneza mtaji kwakila member mpaka kufikia mwezi wa 12.
NB: Commitment kama huna bora usi join na sisi, tumechuja mpaka tumebaki hao wa 4..
PM kama upotayari.