Nahitaji vijana wawili wenye uhitaji wa kujifunza Car Diagnosis, repairs na umeme wa magari kiujumla.

Nahitaji vijana wawili wenye uhitaji wa kujifunza Car Diagnosis, repairs na umeme wa magari kiujumla.

Sifa

Awe na basic knowledge ya magari madogo(Zingatia).

Muaminifu na mchapakazi

Garage iko Iko Makuburi, Ubungo.

Hakuna malipo.

Tuma message ya kawaida au whatsapp +255688758625 (usipige simu tafadhali).
mtu wa maana kabisa.
vijana wa ukimani wachangamkie
 
Me nipo mtaani jobless Sina kazi nakula kwa mama lakini sifanyi kazi ya bure me nataka kazi ya kulipwa tena mshahara mnono . 😃😃😃😃😃😃😃😃😃🚬🚬🚬🚬🚬
 
Back
Top Bottom