Nahitaji wahudumu mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote

IamBrianLeeSnr

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
2,010
Reaction score
4,179
Habari wanajamii...

Natoa fursa kwa mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote kwa kiwango cha juu na wanaozingatia usafi sana.

Eneo ni Bar maarufu iliyopo Dar Es Salaam, maeneo ya Tabata inafahamika kwa jina BARACUDA BAR & LOUNGE.

Malipo ya kazi nalipa kwa siku(POSHO) kulingana na mauzo ya siku yanavyopatikana na kiwango cha malipo hutegemea na order zilizouzwa na huyo mhudumu, Bar inatoa huduma mbalimbali za vyakula aina zote kama mbuzi Choma, Kuku Choma, Samaki Choma, Wali, Ugali na Mchemosho aina zote una pata, Pia ndani ya Bar tunatoa huduma ya ukumbi kwa ajili ya sherehe mbalimbali kama KITCHEN PARTY, SEND OFF, WEDDINGS pamoja na shughuli nyinginezo nyingi.

Kwa aliyetayari na mwenye uhitaji karibu PM kwa mazungumzo zaidi na kupata mawasiliano ya moja kwa moja na Manager wa hapo BARACUDA BAR & LOUNGE.

Ahsanteni na Karibuni sana...
 
Naamini utawapata, wakizidi naomba namimi unipunguzie/uniunganishie wawili tu utakaowapata

Kazi ni ya uuzaji wa duka la electronics, Mahali ni mbezi Mwisho ILA kwasasa acha tupige tarumbeta

wapatikane wa juice,tupate juice za kueleweka,Tester nipo hapa
 
Hahahaaa... Ondoa shaka mkuu! Nitafanya hivyo 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…