The bump
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,488
- 2,908
Mkuu sio kwa ubaya, Amini nakwambia.Najaribu kutafakari uhusiano wa kutengeneza juisi na urembo
Kazi nyingi sasa zinahitaji warembo,umeshawahi ingia ofisi flani ukakuta wadada wake wote wazuri?
Unahisi huwa inatokeaga bahati mbaya? hapana dear UREMBO ulimwengu wa sasa ni moja ya CV kwa mwanamke
si kwamba unaenda kuuzwa,au unapelekwa kwa ajili ya wanaume LA HASHA ila nakuhakikishia mdada mrembo
hushawishi hata mtu Kula chakula chake,kuna sura sisemi mbaya ila hata kama ina vigezo vyote (huwezi mpa ajira)
si kwa ubaya ila kuna nature ya kazi zinahitaji usmartness,mtu mzuri,mtu simple,nk si kwa ubaya au mawazo potofu hii ni Kibiashara tu zaidi.