Nahitaji wahudumu mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote

Nahitaji wahudumu mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote

Ushauri wangu: Unakaribia kufanya kosa linalofanywa na wafanya biashara wengi wa kutoa huduma Bongo. Wengi hudhani kuwa urembo wa mwanamke ndiyo mvuto kwa wateja na hivyo biashara kufanya vizuri. This is totaly wrong. Biashara nyingi za maduka, Bar na hotel na hata office za kutoa huduma kama M-pesa nk zimefeli kwa sababu ya kuweka wanawake warembo. Trust me. Tatizo kubwa ni kuwa wanawake wengi warembo Bongo wanapokuwa sehemu kama hizo huleta madharau na wanapoona wanagombewa na wateja wanakuwa na nyodo kali sana. Wanapata viburi na mara nyingi wanakuwa na wateja wao special wanaowaheshimu huku wakifanya dharau kwa wale ambao wanaonekana kama hawana uchumi mzuri. Ninachokushauri ni kuwa angalia tabia na siyo sura. Najua utakuwa unajidanganya kuwa utakuwa unawafundisha na kuwasimamia muda wote ili wa-behave vizuri lakini kwa uzoefu wangu customer care nzuri inatoka moyoni na siyo kuongozwa!
Kwa hiyo asiweke wenye misambwand na sura nzuri
 
Kwa hiyo wanatengeneza na ku serve wao hao wenyewe?
Nina utaratibu wa kupanga zamu kwa wiki kwenye utengenezaji...

Wiki anayokuwa ndani hata serve...Wanaendelea kuhudumia wenzake kwa hiyo mzunguko ni hivyo hivyo...
 
Hongera sana mkuu panaonekana pako poa sana hapoo..
Samahani kwa kuvamia uzi.
Natafuta mdada pia kwa ajili ya biashara za miamala eneo ni mbezi mwisho.
Awe na mdhamini na taarifa za mdhamini pia.Mshahara ni makubaliano PM ipo wazi kabisa kwa mwenye kuweza kusaidia kufanikisha hilo.
 
Vipi mzee sie vidume sura pesono hutaki kutupa tenda hiyo
 
Naamini utawapata, wakizidi naomba namimi unipunguzie/uniunganishie wawili tu utakaowapata

Kazi ni ya uuzaji wa duka la electronics, Mahali ni mbezi Mwisho ILA kwasasa acha tupige tarumbeta

wapatikane wa juice,tupate juice za kueleweka,Tester nipo hapa
Mkuu yupo binti anahitaji kazi na ana kielim nadhan atajifunza haraka
 
Hongera sana mkuu panaonekana pako poa sana hapoo..
Samahani kwa kuvamia uzi.
Natafuta mdada pia kwa ajili ya biashara za miamala eneo ni mbezi mwisho.
Awe na mdhamini na taarifa za mdhamini pia.Mshahara ni makubaliano PM ipo wazi kabisa kwa mwenye kuweza kusaidia kufanikisha hilo.
Hakuna shida ondoa shaka na imani utapata unachohitaji...Bless up!
 
Attachments

  • 20230618_123647.jpg
    20230618_123647.jpg
    894.5 KB · Views: 1
Kwa hiyo asiweke wenye misambwand na sura nzuri
Isiwe kigezo pekee! Nimesema wengi wanafanya kosa la kuchagua hiki kama kigezo pekee. Matokeo yake ni kuwa bar inapata wateja wengi miezi ya mwanzoni halafu baadae wanakimbia kwa sababu ya huduma mbovu. Halafu kwa taarifa: kutegemea hiki kigezo tu kunavutia wadada wezi na matapeli. Kuna bar nyingi tu nazijua ukikaa vibaya ni lazima upigwe chenji au uongezewe bai.
 
Back
Top Bottom