Nahitaji wahudumu mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote

Nahitaji wahudumu mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote

Habari wanajamii...

Natoa fursa kwa mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote kwa kiwango cha juu na wanaozingatia usafi sana.

Eneo ni Bar maarufu iliyopo Dar Es Salaam, maeneo ya Tabata inafahamika kwa jina BARACUDA BAR & LOUNGE.

Malipo ya kazi nalipa kwa siku(POSHO) kulingana na mauzo ya siku yanavyopatikana na kiwango cha malipo hutegemea na order zilizouzwa na huyo mhudumu, Bar inatoa huduma mbalimbali za vyakula aina zote kama mbuzi Choma, Kuku Choma, Samaki Choma, Wali, Ugali na Mchemosho aina zote una pata, Pia ndani ya Bar tunatoa huduma ya ukumbi kwa ajili ya sherehe mbalimbali kama KITCHEN PARTY, SEND OFF, WEDDINGS pamoja na shughuli nyinginezo nyingi.

Kwa aliyetayari na mwenye uhitaji karibu PM kwa mazungumzo zaidi na kupata mawasiliano ya moja kwa moja na Manager wa hapo BARACUDA BAR & LOUNGE.

Ahsanteni na Karibuni sana...
View attachment 2665372View attachment 2665373View attachment 2665374View attachment 2665375View attachment 2665376View attachment 2665377
Huyo mangi kikofia nahisi ndio mwenye kazi
 
Hapana mkuu huwa nakwepa lawama, wadada wakifika sehemu hizo wakianza kutongozwa na wateja wanabadilika na utendaji unashuka.

Jitahidi utapata mkuu
Hilo halina shida kama kazi inaenda vizuri mimi huwa simzuii mrembo kuruka na mteja yoyote kwani huwa najua itakua ni moja ya kumvuta huyo mteja arudi tena na tena..
 
Back
Top Bottom