Hakuna bar utakayoenda ukakosa changamoto za namna hiyo na hayo hutokea endapo utakua hujasajili wahudumu kwa kutumia akili, Kwa mfano mimi nimewapa wahudumu wangu namba ili anapohudumia iwerahisi kwa mteja kukumbuka namba ya mhudumu pindi tu pale linapotokea tatizo kama hayo uliyosema na kesi za namna hiyo kwangu hakuna kabisa nakuhakikishia kwani huwa nipo eneo la biashara mdaa wote labda itokee nimepatwa na dharula ndipo sitakuwa hapo...Na wahudumu wangu wote wanajiheshimu sana kwani nimewaekea mazingira ya urafiki hata wakipatwa na tatizo huwa nasimama nao bega kwa bega...