Nahitaji wahudumu mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote

Nenda pale KAZIMOTO PORK segera jamaa yupo vizuri pia 🤣🤣🤣
Ushauri wangu: Unakaribia kufanya kosa linalofanywa na wafanya biashara wengi wa kutoa huduma Bongo. Wengi hudhani kuwa urembo wa mwanamke ndiyo mvuto kwa wateja na hivyo biashara kufanya vizuri. This is totaly wrong. Biashara nyingi za maduka, Bar na hotel na hata office za kutoa huduma kama M-pesa nk zimefeli kwa sababu ya kuweka wanawake warembo. Trust me. Tatizo kubwa ni kuwa wanawake wengi warembo Bongo wanapokuwa sehemu kama hizo huleta madharau na wanapoona wanagombewa na wateja wanakuwa na nyodo kali sana. Wanapata viburi na mara nyingi wanakuwa na wateja wao special wanaowaheshimu huku wakifanya dharau kwa wale ambao wanaonekana kama hawana uchumi mzuri. Ninachokushauri ni kuwa angalia tabia na siyo sura. Najua utakuwa unajidanganya kuwa utakuwa unawafundisha na kuwasimamia muda wote ili wa-behave vizuri lakini kwa uzoefu wangu customer care nzuri inatoka moyoni na siyo kuongozwa!
 
Acha kujipumbaza na hayo mawazo yako..

Nilishawahi kuajiri wadada randomly mwaka flani hivi ila nilistuka sana baada ya kuona wateja wanapungua siku hadi siku nilipofanya research nikagundua kuwa walikua wanakosa vivutio sasa kipindi hicho ikanibidi nianze tena usajili mpya kwa umakini sana na hatimae nilifanikiwa kulitatua tatizo.....Mara nyingi wateja wanapenda wadada wanaovutia kuanzia sura, Mwili hata na rangi pia...
 
Wewe huoni ulifanya kosa la kuajiri ''randomly'' kama ulivyosema? Na umesoma vizuri na kuelewa nilichoandika? Mimi siku-suggest uajiri bila vigezo. Nimekutahadharisha tu kuwa kuangalia sura pekee bila tabia nzuri kwa wateja ni kosa! Nasema haya nikiwa na uzoefu mkubwa kabisa kwenye hizi mishe za bar. Ukiangalia sura tu utapata mafanikio ya muda. Mwanzoni itachanganya kweli kweli lakini baada ya muda utafeli. Tatizo la wabongo ni wabishi na wewe pengine unapata wateja wengi sasa hivi hivyo unadhani unajua sana kusimamia bar. Kama umeona nimejipumbaza basi sawa. Mimi nilidhani uungwana ungeshuruku kwa mawazo niliyokupa lakini umeamua kunifyatua.
 
Niliposema randomly nimemaanisha kuanzia sura na elimu sikuviwekea maanani wakati huo ila sasa kwa anaekuja kuomba ajira kwangu lazima awe ni mhitimu wa O’level na mwenye mvuto haswa bila kusahau heshima na ukarimu nimezingatia hayo sana na wengi wanaokuja huwa nafanya mchujo kabla ya kuwachukua na kuingia nao mkataba...Nimeangazia kudili na mabinti warembo tu kwenye maeneo yangu ya biashara zangu kwa ujumla na hili halitabadilika, Pia wapo ambao wamepata bahati ya kuolewa kutokea kwenye maeneo kadhaa ya biashara zangu..
 
Segera Korogwe?

Kuna chimbo lipo Karibu na mataa ya MAJUMBA-6 linaitwa MANDAWE balaa kwa kitimoto ya kuchoma
Napajua hapo nilishakula nyama hapo kama mara mbili hivi wapo vizuri sana..Nafanya mchakato wa kuiba mpishi wao flani hivi...
 
Team Baracuda Bar & Lounge Dj’s leo ni moto sana furahiii day 🔥🔥🔥
E48A6900-4AA1-4602-962A-6EB03D900237.jpeg
09B6538B-626A-4487-85F3-AAB9468E0ECD.jpeg

Karibu sana...Ahsanteni sana...
 
sponge cake, zurbiani,pilau,biriani,asumin,mitron sambusa.trieangle,mutarbak,pizza,baga
Fish finger,ni vitu vingi na ndo kazi yangu kupika
Kwa sasa unafanyia wapi shughuli zako?

Naomba tuongee PM tafadhali kuna jambo tunaweza tukalifanya kwenye upande wa bites...
 
Back
Top Bottom