Nahitaji wahudumu mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote

Hasa hii tabia ya kupotea na chenji ndio mbaya sana.
 
Hakuna bar utakayoenda ukakosa changamoto za namna hiyo na hayo hutokea endapo utakua hujasajili wahudumu kwa kutumia akili, Kwa mfano mimi nimewapa wahudumu wangu namba ili anapohudumia iwerahisi kwa mteja kukumbuka namba ya mhudumu pindi tu pale linapotokea tatizo kama hayo uliyosema na kesi za namna hiyo kwangu hakuna kabisa nakuhakikishia kwani huwa nipo eneo la biashara mdaa wote labda itokee nimepatwa na dharula ndipo sitakuwa hapo...Na wahudumu wangu wote wanajiheshimu sana kwani nimewaekea mazingira ya urafiki hata wakipatwa na tatizo huwa nasimama nao bega kwa bega...
 
Vipi mzeya huna nafasi hapo pembeni niweke kibanda cha kuuza chupi na sidiria za warembo
Wapo jamaa ng’ambo ya bar wanafanya hizo shughuli mimi sifanyi hizo...kwani hapa pamejitosheleza kwa kila kitu...
 
Nshakula sana vyombo hii sehemu

Mleta tangazo
Tuma salamu kwa watu watatu
Hahahaaa!

Salamu zangu ziwafikie wapenzi wateja wangu kila kona ya jiji la Dar Es Salaam na n’je kwa ujumla napenda kusema nawakaribisha sana kwa moyo mkunjufu na amani iwe kwao daima..

Ahsante na karibuni sana...
 
Now you are talking! Exactly hili ndilo nililokuwa nasema: kusajili wahudumu kwa akili na siyo kutumia kigezo kimoja cha ''pisi kali'' bila kusahau usimamizi mzuri
 
Now you are talking! Exactly hili ndilo nililokuwa nasema: kusajili wahudumu kwa akili na siyo kutumia kigezo kimoja cha ''pisi kali'' bila kusahau usimamizi mzuri
Uzuri na mvuto kwa mhudumu lazima mkuu!

Pili kuna vigezo pia nimeweka ili kumsajili mhudumu na ndio maana nikasema kuna mchujo huwa naufanya kabla ya kuingia nao mkataba kwanza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…