Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Njoo pmKwema?
Nahitaji just a simple website ambayo haina makorokoro mengi,iwe na mwonekano mzuri kwa ajili ya wedding photographer.
Niwe na upload picha na sehemu ya wateja wangu kuweka reviews.
Wateja teyari ninao hii website ni ya ziada tu.
Kama inafaa njoo tufanye biashara.
Sitalipa mpaka kazi yangu ikamilike.
Acha utapeli nduguAkifuata ushauri wako ataishia kujilaumu bure na kula hasara. Website ni zaidi ya kutengeneza. Kuna kuhakikisha website unaweka SEO nzuri ili iwe kwenye rank za juu Google. Acha kupotosha watu
Sasa huyo uloweka uzi wake si ni wa dovex huyo ambao hosting ya mwaka wanacharge 120,000 for 4gb storage na domain anauza 50,000 bado unamwambia mtu atapata website ya laki. Tena jamaa nae yupo hapo juu #27 hapo kaquote 600k.Mwingine huyu hapa ndugu, achana na matapeli
Je, unahitaji website nzuri kwa gharama ndogo?
Habari wanajukwaa, Mara nyingi naona watu wakihangaika kupata website kwa ajili ya biashara zao,taasisi au NGO's, Huwa ninawapatia jibu moja kwamba hakuna haja ya kuhangaika, zaidi ya kushika simu na kupiga namba 0629266460 na ndani ya siku mbili tu unapata full developed website pamoja na...www.jamiiforums.com
Utapeli gani hapa umeuona?Acha utapeli ndugu
Website ninayotumia nimetengenezewa na hao vijana wa 150K hadi 200K, huu ni mwaka sita inapiga kazi zangu kuuza samaki sato nchini na hakuna blah blah yoyote. Achana na matapeliCustomized hiyo! na baada ya muda inafungwa anakuja kudai hosting payment! Vitu vingine muwe mnauliza
Huyo mwingine wa 150K niliyemuweka HUMUONI KABSAA AU UMEFUMBA MACHO?Sasa huyo uloweka uzi wake si ni wa dovex huyo ambao hosting ya mwaka wanacharge 120,000 for 4gb storage na domain anauza 50,000 bado unamwambia mtu atapata website ya laki.
Zingatia pia kuwa kwa media website 4gb storage haitoshi mana itajaa miezi tu aje akulaumu. Out of the 4gb kuna space itayoliwa na cpanel na mail configurations plus system cache etc.
Halafu pia watu wasiopenda kunyonywa ndio wanaopenda kunyonya.
Kwa haraka haraka simplest website haiwezi pungua laki6 everything included.
Vijana wanataka kumtapeli hawa, theme za ku dowload tu kisha una drag na ku drop utadhani wamezi design wao? Hahahaha100k unapata website ya wordpress + Domain + Hosting assume unatumia free theme, kama unatumia theme ya kulipia inaweza fika hadi 200k, kwa themes za kulipia kama una ujuzi kidogo unaweza fanya mwenyewe, nyingi ni drag and drop tu.
Big thanks,100k unapata website ya wordpress + Domain + Hosting assume unatumia free theme, kama unatumia theme ya kulipia inaweza fika hadi 200k, kwa themes za kulipia kama una ujuzi kidogo unaweza fanya mwenyewe, nyingi ni drag and drop tu.
Website za mamilioni zipo mkuu kama unapata Developer mzuri na Requirement zako zinatumia resource husika. Otherwise hizi za kina wordpress zaidi ya milioni ikifika labda uwe na Traffic kubwa na Plugins/content nyengine za bei.Vijana wanataka kumtapeli hawa, theme za ku dowload tu kisha una drag na ku drop utadhani wamezi design wao? Hahahaha
Nafahamu kuna websites hadi za milioni 20, lakini sio hizi za hapa nchiniWebsite za mamilioni zipo mkuu kama unapata Developer mzuri na Requirement zako zinatumia resource husika. Otherwise hizi za kina wordpress zaidi ya milioni ikifika labda uwe na Traffic kubwa na Plugins/content nyengine za bei.
AsanteVijana wanataka kumtapeli hawa, theme za ku dowload tu kisha una drag na ku drop utadhani wamezi design wao? Hahahaha
Nakuja PM huu mchongo nitaufanya mie mwenyeweKwema?
Nahitaji just a simple website ambayo haina makorokoro mengi,iwe na mwonekano mzuri kwa ajili ya wedding photographer.
Niwe na upload picha na sehemu ya wateja wangu kuweka reviews.
Wateja teyari ninao hii website ni ya ziada tu.
Kama inafaa njoo tufanye biashara.
Sitalipa mpaka kazi yangu ikamilike.
Mkuu WordPress watu washa achana nayo haina security, asome joomla anunue template afanye modifications joomla free template hatoziwezaVijana wanataka kumtapeli hawa, theme za ku dowload tu kisha una drag na ku drop utadhani wamezi design wao? Hahahaha
Nimeomba website tokana na kipato changu.Website za mamilioni zipo mkuu kama unapata Developer mzuri na Requirement zako zinatumia resource husika. Otherwise hizi za kina wordpress zaidi ya milioni ikifika labda uwe na Traffic kubwa na Plugins/content nyengine za bei.
Website za million ni za makampuni, ukiwatajia laki sita wanaona ni mbaabishaji ila kwa individual laki sita kuanzia kwa watu wenye majina yao mtu anayefanya kwa laki tatu anatafta apate jina tuWebsite za mamilioni zipo mkuu kama unapata Developer mzuri na Requirement zako zinatumia resource husika. Otherwise hizi za kina wordpress zaidi ya milioni ikifika labda uwe na Traffic kubwa na Plugins/content nyengine za bei.
Kaka security ya nini?Mkuu WordPress watu washa achana nayo haina security, asome joomla anunue template afanye modifications joomla free template hatoziweza