Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Njoo pmKwema?
Nahitaji just a simple website ambayo haina makorokoro mengi,iwe na mwonekano mzuri kwa ajili ya wedding photographer.
Niwe na upload picha na sehemu ya wateja wangu kuweka reviews.
Wateja teyari ninao hii website ni ya ziada tu.
Kama inafaa njoo tufanye biashara.
Sitalipa mpaka kazi yangu ikamilike.