Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Nlifikiri ni simple kumbe unataka blog, nlitaka nichukue tenda. Kama ni static njoo nikutengenezee faster siku 1 tu kesho nakupa mzigo ila ni staticKwema?
Nahitaji just a simple website ambayo haina makorokoro mengi,iwe na mwonekano mzuri kwa ajili ya wedding photographer.
Niwe na upload picha na sehemu ya wateja wangu kuweka reviews.
Wateja teyari ninao hii website ni ya ziada tu.
Kama inafaa njoo tufanye biashara.
Sitalipa mpaka kazi yangu ikamilike.
Hiyo kazi inafanyika hosting ni $2.99/mon ifastnet
Domain 1.99 godady .com
Free WordPress installation, free theme na free plugins
Pia anaweza kupata premium theme na plugins kutoka kwa nulled communities
Mfano kiforum kangu hiki nilichouziwa mbuzi kwa gunia nakilipia $2.99 ila this mon ndio mwisho nipo radhi nikigawe bure TangaForums
Mkuu hiyo software inauzwa hata wewe unaweza kuwa nayo mbona forum kama kenya talk na nyingi tu ikiwemo jf wanatumia hii software ndio maana unaona kama inafananaIkabidi nikaangalie forum yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa ile ni cheap clone ya JF au
Hii mbona ni jf kasoro rangi tuHiyo kazi inafanyika hosting ni $2.99/mon ifastnet
Domain 1.99 godady .com
Free WordPress installation, free theme na free plugins
Pia anaweza kupata premium theme na plugins kutoka kwa nulled communities
Mfano kiforum kangu hiki nilichouziwa mbuzi kwa gunia nakilipia $2.99 ila this mon ndio mwisho nipo radhi nikigawe bure TangaForums
Nimejibu hapo juu ☝️☝️☝️ ya reply yakoHii mbona ni jf kasoro rangi tu
Sio ngumu kama mnavyonadi..Nakushauri utulie huko youtube utengeneze mwenyewe uone kama hiyo 100k yako haijaishia kwenye vifurushi vya internet na hapo bado haujaambulia chochote! [emoji3] Na hapo bado haujalipia domain name, hosting n.k
Au sio 😂 mpaka hapo kwanza umeshatumia MB ngapi? Na hiyo no dreamweaver mpaka uweze kuimaster na uweze kuitumia vizuri utakuwa umetumia mb na siku ngapi? Na hapo hauna experience lazima utengeneze 'kablog: sio website 😀 haya hapo bado haujalipia domain, hosting n.k. Yaani wewe hauna tofauti na abiria anayetaka kujifunza udereva na kutaka kuendesha malori siku hiyohiyo 😀 shida yote kisa ubahili, heshimu taaluma za watu, hamna utakachofanya hapo, unapoteza muda wako.Sio ngumu kama mnavyonadi..
Inahitaji muda tu wa kutosha kujifunza..
Kila kitu kipo you-tube.
Hakuna ugumu wowote
Adobe Dreamweaver.View attachment 2548115
Blogger haitengenezi website bali ni blogMkuu kwanini usitengeneze mwenyewe kupitia blogger?
Unaweza Tengeneza website kwenye Blogger pia,Blogger haitengenezi website bali ni blog
Kaka Mb's kwangu sio tatizo,Au sio [emoji23] mpaka hapo kwanza umeshatumia MB ngapi? Na hiyo no dreamweaver mpaka uweze kuimaster na uweze kuitumia vizuri utakuwa umetumia mb na siku ngapi? Na hapo hauna experience lazima utengeneze 'kablog: sio website [emoji3] haya hapo bado haujalipia domain, hosting n.k. Yaani wewe hauna tofauti na abiria anayetaka kujifunza udereva na kutaka kuendesha malori siku hiyohiyo [emoji3] shida yote kisa ubahili, heshimu taaluma za watu, hamna utakachofanya hapo, unapoteza muda wako.
Noted that .Mkuu Ambition plus angalia themes kama hizi
Blogger Themes from ThemeForest
Choose from over 100 Blogger Themes. All created by our Global Community of independent Web Designers and Developers.themeforest.net
Zinafaa kwa matumizi yako?
Kama zinafaa unaweza tumia path ya blogger itapunguza Complication, Domain+Theme itakua ndio gharama yako tu.
Ama Angalia hii For Free
Nilimshauri hivyooo pia ila kwa mawazo yangu labda alitaka more professional kwenye features ambazo ni ngumu kipata bloggerUnaweza Tengeneza website kwenye Blogger pia,
Na Requirement ya jamaa ni Blog kama umesoma anachotaka, yeye ni photographer, anapiga picha za harusi, ina maana kila harusi atakua na picha mpya na couples wapya atakazo upload, means page mpya. blog hapa inamfaa zaidi.
VizuriiiiNoted that .
Asante kaka
Acha kushupaa na Google😁😁. Google watakwambia bei za Us. Kama nimekosea waulize mshahara wa mwalimu halafu compare na tzSiyo wezi mkuu. Hivi unajua maana ya website wewe? Wewe Google mtandaoni uone website ina gharimu shilingi ngapi. Milioni mbili ndogo sana kwa ajili ya kutengenezewa website nzuri.
Wazo lako nimelichukua pia mkuu..Nilimshauri hivyooo pia ila kwa mawazo yangu labda alitaka more professional kwenye features ambazo ni ngumu kipata blogger
Vizuriiii
Bro, vitu vya bei rahisi amamserereko sio vizuri. Sidhani kama unaweza kupata tovutinzuri kwa laki moja, ikijumlisha gharama za kuandaa content na hosting. Labda kuanzia 1m kwenda mbele unaweza kupata.Kwema?
Nahitaji just a simple website ambayo haina makorokoro mengi,iwe na mwonekano mzuri kwa ajili ya wedding photographer.
Niwe na upload picha na sehemu ya wateja wangu kuweka reviews.
Wateja teyari ninao hii website ni ya ziada tu.
Kama inafaa njoo tufanye biashara.
Sitalipa mpaka kazi yangu ikamilike.