Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Nlifikiri ni simple kumbe unataka blog, nlitaka nichukue tenda. Kama ni static njoo nikutengenezee faster siku 1 tu kesho nakupa mzigo ila ni staticKwema?
Nahitaji just a simple website ambayo haina makorokoro mengi,iwe na mwonekano mzuri kwa ajili ya wedding photographer.
Niwe na upload picha na sehemu ya wateja wangu kuweka reviews.
Wateja teyari ninao hii website ni ya ziada tu.
Kama inafaa njoo tufanye biashara.
Sitalipa mpaka kazi yangu ikamilike.