Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mchezaji na nahodha wa Ipswich Town Sam Morsy ndio nahodha pekee wa timu za EPL aliyekataa kuvaa kitambaa cha unahodha chenye rangi za upinde zikiashiria LGBTQ plus wikiendi iliyopita, Sam alisema kwa imani ya dini yake (Uislamu) hatovaa kitambaa hicho.
Klabu yake Ipswich Town ilimruhusu kufanya kulingana na imani yake hivyo alivaa kitambaa cha kawaida katika mchezo wao ambao walifungwa goli moja bila dhidi ya Nortingham Forest, mchezaji mwingine aliyewai kugomea upinde ni Idrissa Gana Gueye akiwa PSG.
Sam Morsy ambae ni raia wa Misri amepongezwa na kada tofauti kupitia majukwaa tofauti nchini Misri kwa kitendo hicho.
Sam Morsy ambae ni raia wa Misri amepongezwa na kada tofauti kupitia majukwaa tofauti nchini Misri kwa kitendo hicho.