Nahodha wa Ipswich Town, Sam Morsy agomea kuvaa kitambaa cha Unahodha chenye Upinde kwa sababu za Kidini

Nahodha wa Ipswich Town, Sam Morsy agomea kuvaa kitambaa cha Unahodha chenye Upinde kwa sababu za Kidini

Mchezaji na nahodha wa Ipswich Town Sam Morsy ndio nahodha pekee wa timu za EPL aliyekataa kuvaa kitambaa cha unahodha chenye rangi za upinde zikiashiria LGBTQ plus wikiendi iliyopita, Sam alisema kwa imani ya dini yake (Uislamu) hatovaa kitambaa hicho.
Klabu yake Ipswich Town ilimruhusu kufanya kulingana na imani yake hivyo alivaa kitambaa cha kawaida katika mchezo wao ambao walifungwa goli moja bila dhidi ya Nortingham Forest, mchezaji mwingine aliyewai kugomea upinde ni Idrissa Gana Gueye akiwa PSG.

Sam Morsy ambae ni raia wa Misri amepongezwa na kada tofauti kupitia majukwaa tofauti nchini Misri kwa kitendo hicho.
Swafii
 
Uamuzi wa nahodha wa Ipswich Town Sam Morsy wa kutovaa jezi ya upinde wa mvua kuunga mkono kampeni ya kuunga mkono haki za wapenzi wa jinsi moja na jamii ya LGBTQ+ ya Rainbow Laces ya Ligi kuu ya England umezua mjadala.

Morsy alivaa jezi ya kiwango cha juu badala ya muundo wa upinde wa mvua wakati waliposhindwa 1-0 na Nottingham Forest Jumamosi kwa "imani za kidini", kulingana na klabu yake Ipswich.

Alifanya hivyo katika mechi ya Ipswich dhidi ya Crystal Palace Jumanne usiku.

Je, ni nini sababu za uamuzi - na majibu yamekuwa ni yapi?

KWANINI WANAOPINGA UPUUZI HUU NI WACHEZAJI WAISLAM TU?HUkU NDUGU ZAO WAKIRISTO WAKIFURAHIA?
 
Acha udini wako
Mbona Mohamed Salah anavaa hicho kitambaa
Granit Xhaka, Guech ambao ni wakristo waligoma kuvaa huo ushoga
 
Swali bado. Kwanini hakuna mchezaji mkiristo hata mmoja aliepinga? Ukashibu hoja hio utaleta hoja ya udini wangu
Nimekwambia
Granit Xhaka na Guech ni wakristo
Na walikataa kuvaa kitambaa cha ushoga
 
WALINDENI WATOTO WENU NA USHOGA.

USHOGA HAUPO KWENYE KITAMBAA UPO KWA WATOTO WENU NA VIZAZI VYENU.

MUOMBENI SANA MUNGU AWASAIDIE KWENYE KIZAZI CHAKO ASIZALIWE SHOGA.

WALEENI WATOTO WENU KATIKA MAADILI.
 
BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.

1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.

Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.

LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.

2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.

1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.
3.Magonwa na Maradhi.

4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
AJIRA.
5. Rushwa na Upendelo

6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk

MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.

OKOENI TAIFA LENU LEO.
MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
 
Acha udini wako
Mbona Mohamed Salah anavaa hicho kitambaa
Granit Xhaka, Guech ambao ni wakristo waligoma kuvaa huo ushoga
Mohamed Salah ni Captain wa Liverpool ? Lini alivaa kitambaa cha unahodha wakati nahodha ni Virgil Van Diyk?.Granit Xhaka ni muislamu na ana asili ya Albania.
Ni Marc Guehi pekee yake ndiye captain mkristo aliyekataa huo ubaradhuli.
Next time get your facts right.
 
Xhaka ni muislam ndo alivokwambia?
Mbona mnajifanyaga kila jambo jema ni lenu?
Afande wa Zanzibar ni dini Gani? Au huyo sio muislam?
 
Xhaka ni muislam ndo alivokwambia?
Mbona mnajifanyaga kila jambo jema ni lenu?
Afande wa Zanzibar ni dini Gani? Au huyo sio muislam?
Pandisha matako uteremshe Granit Xhaka ni muislamu.Upende ni muislamu usipende ni muislamu. Huyu afande unamjua wewe na mambo yako ya kishoga.
 
No
Pandisha matako uteremshe Granit Xhaka ni muislamu.Upende ni muislamu usipende ni muislamu. Huyu afande unamjua wewe na mambo yako ya kishoga.
Maadili yangu
Sipaswi kujibizana na wewe mpenda matusi
 
Back
Top Bottom