Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kwahiyo angevaa tu kukusupport akapakuliwe?Huyu ni mjinga hana akili hawa ni waislam wenzake wakipambania haki za ushogaView attachment 3168095
Jikite kwenye suali acha muhemko mkuu.Huyu ni mjinga hana akili hawa ni waislam wenzake wakipambania haki za ushogaView attachment 3168095
Una hakika hao ni waislam, kwahiyo utasema uislam unaruhusu nyimbo kisa diamond(nassib abdul) anaimba, utasema unaruhusu kuvaa nusu uchi kisa zuchu(zuhura) anavaa nusu uchi mkuu?Huyu ni mjinga hana akili hawa ni waislam wenzake wakipambania haki za ushogaView attachment 3168095
Kama mpaka makanisani tunashuhudia ndoa za jinsia moja, unategemea waumini wake watapinga hilo?Kwani Dini zingine zinaruhusu ushogaa?
Ujinga na akili ndogo mkuu.Hii nchi ina watu wana shida sana wanapenda comparison sana Aisee ikitajwa dini ya kiislamu lazima wakristo walipuke kwa hasira za mkizi
Hawalazimishi, ila umaskini wa waafrika ndio unaowalazimisha kufuata hela za wazungu. Ukitaka kujua hilo, nitajie mchezaji wa sasa hivi ambaye yupo kwenye ligi ya Afrika na ameshakuta ligi ya Uingereza imedhaminiwa na hao jamaa, ambaye akiitwa kwenda kucheza Ipswich au Nottingham Forest atakataa kwa sababu ya wadhamini. Kwa ufupi ni sisi waafrika ndio tunaolazimisha wazungu wabadilike, sio kwamba wao wanatulazimisha kutangaza tabia hiyoWazungu wana ajenda gani na ushoga? Kama kufirwa raha si wainjoi peke yao? Kwa nini walazimishe na wengine?
Zinaunga mkonohaziruhusu.
JESUS IS LORD
wanaounga mkono ni mashetani na wafuasi waoZinaunga mkono
soka la Afrika nalo limejaa ushirikina mno.Mimi hata soka la Ulaya na kwingine wanakoshabikia Usenge nimeshaacha kuangalia.
Niko busy na ligi ya Kenya,Bongo,Uarabuni na China.Na wao walileta Usenge naacha kabisa kufuatilia soka. Walaaniwe wanuka mavi.