Gavana akiwa wa bara naibu wake anatoka Zanzibar and vise versa.
Lete hapa hiyo habariDuuu!
Hivi hata kwenda Google tu kupata habari ni kazi nzito hivyo….!
Manaibu gavana wako wengi sio mmojaGavana akiwa wa bara naibu wake anatoka Zanzibar and vise versa.
Gavana hajawahi fanya kazi TRA mjinga weweNaibu gavana wetu sasa anaitwa nani alikuwa wapi na wapi kabla ya kuwa Naibu Gavana. Nafahamu Gavana Luoga alikuwa Mhadhiri Chuo Kikuu Dar es Salaam( UDSM) na kama sijalosea alikuwa TRA kabla ya kuwa Gavana
Ahsanteni sana
He is the deputy vice chancellor of the University of Dar es Salaam and the chair of the Tanzania Revenue Authority. He has been appointed to be the next governor of the Bank of Tanzania, the country's central bankGavana hajawahi fanya kazi TRA mjinga wewe
Chadema vichwa vyenu hopeless kabisa
Luoga jhakuwahi kuwa TRA kama mtumishi bali alikuwa mwenyekiti wa Bodi ya TRA na wakati huo alikuwa tayari ni Gavana wa BOT,alitokea Chuo Kikuu,kulikuwa na M Nyirabu Mungu amrehemu,Rutihinda Mungu amrehemu,Rashid,Ndulo Mungu amrehemu na sasa Luoga.Habari Wakubwa.
waswahili wanasema kuuliza si ujinga
Ningependa kufahamu Naibu Gavana wa Benki Kuu anapatikana vipi? Ni mteule tu wa Rais kama wateule wengine? Majukumu yake ni yapi?
Naibu gavana wetu sasa anaitwa nani alikuwa wapi na wapi kabla ya kuwa Naibu Gavana. Nafahamu Gavana Luoga alikuwa Mhadhiri Chuo Kikuu Dar es Salaam( UDSM) na kama sijalosea alikuwa TRA kabla ya kuwa Gavana
Ahsanteni sana
Luoga jhakuwahi kuwa TRA kama mtumishi bali alikuwa mwenyekiti wa Bodi ya TRA na wakati huo alikuwa tayari ni Gavana wa BOT,alitokea Chuo Kikuu,kulikuwa na Mzee Edwin Mtei Gavana wa kwanza, Nyirabu Mungu amrehemu,Rutihinda Mungu amrehemu,Rashid,Ndulo Mungu amrehemu na sasa Luoga.
Chairman wa TRA ni board member sio mwajiriwa wa TRA kusema aliwahi kufanya kazi TRA sio sahihiHe is the deputy vice chancellor of the University of Dar es Salaam and the chair of the Tanzania Revenue Authority. He has been appointed to be the next governor of the Bank of Tanzania, the country's central bank
Ahsante sanaLuoga jhakuwahi kuwa TRA kama mtumishi bali alikuwa mwenyekiti wa Bodi ya TRA na wakati huo alikuwa tayari ni Gavana wa BOT,alitokea Chuo Kikuu,kulikuwa na M Nyirabu Mungu amrehemu,Rutihinda Mungu amrehemu,Rashid,Ndulo Mungu amrehemu na sasa Luoga.
Duh Mkuu kwa kukosea tu ndio nimekuwa sifuri kichwani?Chairman wa TRA ni board member sio mwajiriwa wa TRA kusema aliwahi kufanya kazi TRA sio sahihi
Anyway mleta mada kachanganya kitu sababu kichwa chake kiko sifuri kichwani
Kulikuwa na Plasdius Luoga ambaye alikuwa naibu kamishina Mapato ya ndani mwajiriwa wa TRA ambaye kabla kuwa naibu kamishina alikuwa mhadhiri chuo cha wasimamizi wa fedha yaani IFM kamchanganya na gavana!!
Mimi sio Chadema Mkuu, mimi ni mwanaCCM na hata CCM inanitambua kama Mwanachama wake Hai na Halali.Gavana hajawahi fanya kazi TRA mjinga wewe
Chadema vichwa vyenu hopeless kabisa
Naibu wa wapi na wapi na wapi!?Ina manaibu gavana watatu.
1. Naibu gavana utawala na udhibiti wa ndaniNaibu wa wapi na wapi na wapi!?
Tupeane elimu adhimu! Tafadhali