Naibu Gavana wa Benki Kuu ni nani? Anapatikana vipi?

Naibu Gavana wa Benki Kuu ni nani? Anapatikana vipi?

Sidhani kama ni lazima, kumewahi kuwepo na Gavana Charles Nyirabu na Naibu Gavana Bob Makani wote wa bara.
Kwa hiyo kuna wakati kunakuwa na Naibu Gavana mmoja tu
 
1. Naibu gavana utawala na udhibiti wa ndani
2. Naibu gavana uchumi na sera
3. Hapa sikumbuki vzr lkn namba ndio mtendaji haswa

Nimejibu vile najua
Ika uteuzi wa Gavana mpya umetamka tu naibu Gavana. Labda kama kuna structure mpya
 
1. Naibu gavana utawala na udhibiti wa ndani
2. Naibu gavana uchumi na sera
3. Hapa sikumbuki vzr lkn namba ndio mtendaji haswa

Nimejibu vile najua
Ahsante Mkuu
 
Naona kama ndio imekuwa sasa ila sina uhakika
Hiyo ndio ndio inavyotakiwa kuwa kwa taasisi zote za muungano mkuu. Ukiona wote Gavana na naibu wake wametoka upande mmoja basi jua upande wa pili wamekosa MTU mwenye vigezo
 
Hiyo ndio ndio inavyotakiwa kuwa kwa taasisi zote za muungano mkuu. Ukiona wote Gavana na naibu wake wametoka upande mmoja basi jua upande wa pili wamekosa MTU mwenye vigezo
Ahsante Mkuu, ila ni mawazo yako au ndio uhakika wa hali ilivyo?
 
Back
Top Bottom