Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,009
- 2,934
Kama kawaida ya mipango ya Mungu. Kamanda Athuman Kidavashali aliyekuwa kamishina wa Polisi Makao Makuu amefariki. Poleni sana Makamanda wote. Kifo hakina huruma kinambeba kila mtu awe mwalimu, polisi, mkulima, Rais, waziri na yeyote yule.
==========
Mkuu wa Jeshi la polisi,(IGP Simon Nyakoro Sirro anasikitika kutangaza kifo cha Naibu Kamishna wa Polisi, Dhahiri Kidavashari kilichotokea 17/11/2020 katika hospitali ya Dodoma Christian Medical Center Trust(DCMCT), Ntyuka jijini Dodoma alikokuwa akipatiwa matibabu.