TANZIA Naibu Kamishina wa Polisi, Dhahiri Kidavashali afariki dunia

TANZIA Naibu Kamishina wa Polisi, Dhahiri Kidavashali afariki dunia

Huyo Kamanda ni Mzembe.....

Kamanda ana bunduki anakufa vipi?????
Kwanini asingempiga Risasi za moto au Mabomu huyo aliyemuua.

Kamanda umeniangusha sana.
 
Mweeeeeeeeeee Mweeeeeeee Poleni Polisi, Media za Tanzania zilivyojaa unafiki utaona hizo habari page za mbel;e kesho ila wale wa Zanzibar, Musoma na kwingineko wale sio watu.
 
Umeanza vibaya mkuu. Haujamfanyia poa binadamu mwezio (marehemu) kama vile ulikuwa unasubiri afe.
Wenyewe ungewaona humu?
Wakati wamewacharaza viboko na risasi huko Pemba, Tarime, na kubeba masanduku
Leo ndio mnaona kuna usawa?
Ok naye ni binadamu ameonja mauti na sisi hatufahamu nani atafuata, Infantry soldier
 
Tume ya Taifa ya uchaguzi lazima wawajibishwe kw a hili.

Haiwezekani mpaka Kamanda anakufa wao walikuwa wapi mpaka wakashhindwa kumuokoa kumuokoa Kamanda.
 
Poleni sana ndugu wafiwa Mungu awape nguvu ktk kipindi hiki kigumu.
 
Back
Top Bottom