TANZIA Naibu Kamishina wa Polisi, Dhahiri Kidavashali afariki dunia

mkuu hii sio ya leo
Yaani Sasa kuna kundi humu lina mpango wa Siri wa ku panikisha watu,ili tuamini kua ni kweli watu wanakufa kila siku, ndiyo maana Wanaleta matangazo ya vifo vya tangu Mwaka juzi au vya Mwaka Jana!!!!
 
kama hupendi pita kushoto, simple like that.
 
Back
Top Bottom