Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,009
- 2,934
Kafa usiku wa kuamkia leo. Kifo hiki jamani, haikiangalii kabisa mambo ya nyota jamani.Basi sawa....😪😪
Yaani kinamchukua Kamishina wa Fedha kweli wa Jeshi ambaye amejitihahidi sana kulipa posho za askari wakati wa uchaguzi? Inauma sana jameni.Hiki kifo kimetumwa. Hakijui huyo ni mwana ccm?
Umeanza vibaya mkuu. Haujamfanyia poa binadamu mwezio (marehemu) kama vile ulikuwa unasubiri afe.Kama kawaida ya mipango ya Mungu.
Wao wanapotumwa kutupiga mabomu na risasi wanatutendea sawa et??Umeanza vibaya mkuu. Haujamfanyia poa binadamu mwezio (marehemu) kama vile ulikuwa unasubiri afe.