Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Kama wana "personal issues" sawa mimi siwaingilii kwa maana mimi pia siwapendi adui zangu.Wao wanapotumwa kutupiga mabomu na risasi wanatutendea sawa et??
Wafage dadek zao.
R.I.H afande
Utasikika kweli kwa sauti ndogo hivi.mwenyezi Mungu akupe pumziko la amani,poleni sana wafiwa ,ndugu,jamaa ,marafiki na familia ya marehemu kwa ujumla.
Na katika utii huo wa sheria bila Shruti hakuna mkubwa wala mdogo,kwake tumetoka na kwake tutarejea.AmeenUtii wa sheria bila shuruti- Ameen
Polee sana, unasumbuka sana maisha ya watu wasio kuhusu.kifo bhana
mwengine alikungutwa risasi 16 na kuwekewa lita 230 za damu leo yuko kitaa anadunda na hana habari...yy amelala na kufa
pumzika ulipojiandalia kamanda
'…kullu nafsin dhaaiqatul mauti…'bado jiwe
Asante afande nimepunzika kwa amaniRIP afande
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]utasikika kweli kwa sauti ndogo hivi.
MPE HI SANA MZEE WA AMSHA AMSHA,AFANDE SHANA.Asante afande nimepunzika kwa amani
Wenyewe ungewaona humu?Umeanza vibaya mkuu. Haujamfanyia poa binadamu mwezio (marehemu) kama vile ulikuwa unasubiri afe.
Simpangie Mungu, pahala pa kuweka mavuni ni mvunaji ndio anaamua!Roho ya marehemu ipate pumziko la milele apumzike kwa amani, Amina.
Zimefika salamu, tupo nae hapa..MPE HI SANA MZEE WA AMSHA AMSHA,AFANDE SHANA.