Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Akiongea hivi karibuni katika mdahalo maalum ulioandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Benson Kigaila ambaye ni Naibu Katibu Mkuu CHADEMA amesema kuwa sio kwamba CHADEMA itasusia uchaguzi ujao bali uchaguzi huo unaweza usifanyike kabisa,
Kigaila amesema kuwa bila mabadiliko ya mfumo wa Uchaguzi CHADEMA itahakikisha hakuna Uchaguzi utakaofanyika mwaka 2025.
Aliongeza kwa kusema kuwa wanaweza kufanya hivyo iwapo kwa "kuunganisha nguvu na wadau"
Pia, Soma: Tundu Lissu: CHADEMA tutazuia Uchaguzi wa mwaka 2025 kama hakutakuwa na mabadiliko kimfumo