Pre GE2025 Naibu Katibu Mkuu CHADEMA: Bila mabadiliko, 2025 hakutafanyika Uchaguzi wowote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Akiongea hivi karibuni katika mdahalo maalum ulioandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Benson Kigaila ambaye ni Naibu Katibu Mkuu CHADEMA amesema kuwa sio kwamba CHADEMA itasusia uchaguzi ujao bali uchaguzi huo unaweza usifanyike kabisa,

Kigaila amesema kuwa bila mabadiliko ya mfumo wa Uchaguzi CHADEMA itahakikisha hakuna Uchaguzi utakaofanyika mwaka 2025.

Aliongeza kwa kusema kuwa wanaweza kufanya hivyo iwapo kwa "kuunganisha nguvu na wadau"
Your browser is not able to display this video.


Pia, Soma: Tundu Lissu: CHADEMA tutazuia Uchaguzi wa mwaka 2025 kama hakutakuwa na mabadiliko kimfumo
 


Hawa watu usema namna hii lakini matokeo zero. Hivi yule aliyekuwa anawaandalia chadema mikakati alienda wapi?
 
Watatumia mbinu gani? Wasijekutumika tu kufanikisha watu kuendelea kubakia madarakani kwa kisingizio hiko.
 
Vyombo vya dola halitosis CHADEMA wakisema wakiamshe.Huwa wanajichukulia poa tu.Wakomae,uhuni ukomeshe.
 
Mnajaribu kumshika Simba masharubu? Nyie kama hampigi kura wala kugombea, acheni, ila msiingilie mamlaka ya dola na uhuru wa raia
 
 

Attachments

  • IMG-20250118-WA0023.jpg
    31.8 KB · Views: 3

Mkewe yuko bungeni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…