Kama hutaki kufaHii mikwara ya kipumbavu itawarudisha sana Mabwepande! Eti utalipiza kisasi! Nyoooo!!!
Nakufa mimi kwani mimi ndio natoa mikwara ya kipumbavu? Hayo watoa mikwara ndio wataishia Mabwepande na hamtafanya kitu zaidi ya kuloloma JF. Na mna bahati Kuna JF. Isingelikuwapo sijui mngelolomea kwenye masaburi yenu! Nyambafu!!!Kama hutaki kufa
Wewe ni nani hapa Tanzania?Nakufa mimi kwani mimi ndio natoa mikwara ya kipumbavu? Hayo watoa mikwara ndio wataishia Mabwepande na hamtafanya kitu zaidi ya kuloloma JF. Na mna bahati Kuna JF. Isingelikuwapo sijui mngelolomea kwenye masaburi yenu! Nyambafu!!!
Maumivu ya kujitakia hayana hurumaKitendo cha Jeshi la Polisi kupiga wafuasi wa Chadema na wengine kutupwa porini Mabwepande baada ya kujeruhiwa na kuvunjwa miguu na mikono kamwe hakiwezi kuiacha nchi salama!View attachment 3316514
Hiyo siyo mikwara! Huo ndiyo ukweli na hali halisi watu wana hasira kali!Hii mikwara ya kipumbavu itawarudisha sana Mabwepande! Eti utalipiza kisasi! Nyoooo!!!
Hata nusu yake hawafiki. Wako wachache sana.Polisi wapo afu hamsin
Wanamabadiliko wapo zaidi ya million kumi
Ni siku moja tu watanganyika wakiamua tunaikomboa nchi yeti kutoka kwa mafsad
Polisi akikuzuia usilale na mme wako hutakubali Kwakuwa polisi wamesema?Maumivu ya kujitakia hayana huruma
Polisi wamewaambia musiende nanyi mumelazimisha kwenda. Polisi hawakufundishwa kuongea kama waalimu au wanasheria, bali walifundishwa kutuliza ghasia. Ukiambiwa tii amri bila shurti na ukalaidi ujue kinachokufuata ni kuvunjwa ugoko
Unaandika hapa kwa vile akili yako ni nzuri na haukwenda Mahakamani. Ila mnachoharibu ni kuwajaza ujinga mabwege kwa kuwaita Makamanda. Nyie mnabakia kwenu wenzenu wana umiaPolisi akikuzuia usilale na mme wako hutakubali Kwakuwa polisi wamesema?
Polisi anazuiaje watu kufika mahakamani kusikiliza kesi na kurejea makwao
Na ni kweli, yaani umuue baba yangu halafu ninyamaze, no.Kitendo cha Jeshi la Polisi kupiga wafuasi wa Chadema na wengine kutupwa porini Mabwepande baada ya kujeruhiwa na kuvunjwa miguu na mikono kamwe hakiwezi kuiacha nchi salama!
Pia soma: Pre GE2025 - Baada ya kukamatwa Kisutu, Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Zanzibar apatikana, adai kupelekwa Pori la Mabwepande na kupigwa sana
View attachment 3316514
Kwanini waumizwe na hawakuvunja sheria?Unaandika hapa kwa vile akili yako ni nzuri na haukwenda Mahakamani. Ila mnachoharibu ni kuwajaza ujinga mabwege kwa kuwaita Makamanda. Nyie mnabakia kwenu wenzenu wana umia