"Tii amri bila shurti" labda wewe ni mgeni na huu usemiKwanini waumizwe na hawakuvunja sheria?
Raia wa nchi hii kufika mahakamani ni kosa kisheria?
Mwenyezi Mungu ndiye hakimu wa Wote.Kitendo cha Jeshi la Polisi kupiga wafuasi wa Chadema na wengine kutupwa porini Mabwepande baada ya kujeruhiwa na kuvunjwa miguu na mikono kamwe hakiwezi kuiacha nchi salama!
Pia soma: Pre GE2025 - Baada ya kukamatwa Kisutu, Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Zanzibar apatikana, adai kupelekwa Pori la Mabwepande na kupigwa sana
View attachment 3316514
Pumbavu!! Kisasi cha makalio yake labda!Kitendo cha Jeshi la Polisi kupiga wafuasi wa Chadema na wengine kutupwa porini Mabwepande baada ya kujeruhiwa na kuvunjwa miguu na mikono kamwe hakiwezi kuiacha nchi salama!
Pia soma: Pre GE2025 - Baada ya kukamatwa Kisutu, Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Zanzibar apatikana, adai kupelekwa Pori la Mabwepande na kupigwa sana
View attachment 3316514
Hivi Huyu jamaa alitawala miaka mingapi?Hivi kuna mtu alikuwa na siasa za kibabe kama Komandoo Salmin Amour,hivi sasa hivi yukoje na familia yake iko wapi!!?Hebu tuchukue funzo na tujue kesho yetu ikoje.
Nimekuuliza ukiamriwa na polisi usilale na mme wako utakubali?"Tii amri bila shurti" labda wewe ni mgeni na huu usemi
Nani alikuwa anavunja sheria. Mwananchi ambaye sheria inamruhusu kwenda mahakamani au polisi anayezuia mwananchi...Maumivu ya kujitakia hayana huruma
Polisi wamewaambia musiende nanyi mumelazimisha kwenda. Polisi hawakufundishwa kuongea kama waalimu au wanasheria, bali walifundishwa kutuliza ghasia. Ukiambiwa tii amri bila shurti na ukalaidi ujue kinachokufuata ni kuvunjwa ugoko
Ahahahahaha!!Wewe ni nani hapa Tanzania?
Unaona ni sawa kukamata Watanzania wenzako, kuwatesa na kuwatupa porini wakaliwe na wanyama wakali katika nchi Yao ambayo Mungu amewapa
Mwananchi mwenye hasira uonesha hasira zake barabarani kwa kuandamana na sio kulolomea JF. Kuna jamaa anahisi uenda ninyi ni maroboti tu. Mitandaoni mmejaa, lakini barabarani yupo Heche, Mnyika na Hilda Newton tu! Ahahahahaha!!!Hiyo siyo mikwara! Huo ndiyo ukweli na hali halisi watu wana hasira kali!
Ninyi mahawara wa mama endeleeni kula makombo!
Karma is a bitch,Hii mikwara ya kipumbavu itawarudisha sana Mabwepande! Eti utalipiza kisasi! Nyoooo!!!
Mpumbavu ni wewe hayawani uliyeamua kumtumikia shetani. Kwa moyo wa uovu ulio nao, mwisho wako uwe mbaya kama ilivyo roho yako.Hii mikwara ya kipumbavu itawarudisha sana Mabwepande! Eti utalipiza kisasi! Nyoooo!!!
Nasikia ni kipofu ....ya kweli hayo....Hivi kuna mtu alikuwa na siasa za kibabe kama Komandoo Salmin Amour,hivi sasa hivi yukoje na familia yake iko wapi!!?Hebu tuchukue funzo na tujue kesho yetu ikoje.
Ahahahahaha! Mimi sio mpumbavu kutishika na mikwara mbuzi. Eti ntakufa vibaya. Nyooo! Kwahiyo hawara ya mkeo ndio kamwambia wewe utakufa vizuri sio?Mpumbavu ni wewe hayawani uliyeamua kumtumikia shetani. Kwa moyo wa uovu ulio nao, mwisho wako uwe mbaya kama ilivyo roho yako.
Hatofanikiwa laana yake itamrudia,kutotii mamlaka za Mungu ni laana kwa Allah subhanaa wataalahKitendo cha Jeshi la Polisi kupiga wafuasi wa Chadema na wengine kutupwa porini Mabwepande baada ya kujeruhiwa na kuvunjwa miguu na mikono kamwe hakiwezi kuiacha nchi salama!
Pia soma: Pre GE2025 - Baada ya kukamatwa Kisutu, Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Zanzibar apatikana, adai kupelekwa Pori la Mabwepande na kupigwa sana
View attachment 3316514
You nailed it 📌Kuna watu wanachukulia mzaha hizi lugha za visasi, tunapaswa kujua hizi akili huanza kidogokidogo matokeo yake huwa ni mabaya.
Tunapaswa kujiuliza Sasa na kukaa chini kumaliza haya madai ya raia.
Madai ya kudai haki hayaanzii kwa watu 5mil bali huanzia Kwa mtu mmoja na kuenea taratibu msitu mzima.
Yakhee, serikali yetu haina dini na kwa maana hiyo Mungu wako haitambui. Kwa hiyo hata ukimshitakia kwamba serikali walikupiga kwa uonevu ni kazi bure.Kitendo cha Jeshi la Polisi kupiga wafuasi wa Chadema na wengine kutupwa porini Mabwepande baada ya kujeruhiwa na kuvunjwa miguu na mikono kamwe hakiwezi kuiacha nchi salama!
Pia soma: Pre GE2025 - Baada ya kukamatwa Kisutu, Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Zanzibar apatikana, adai kupelekwa Pori la Mabwepande na kupigwa sana
View attachment 3316514