evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
Acha kujitungia usemi wako usemi unasema Tii Sheria bila shuruti."Tii amri bila shurti" labda wewe ni mgeni na huu usemi
Wewe sijui ling'ombe la mama la wapi
Acha kujitungia usemi wako usemi unasema Tii Sheria bila shuruti."Tii amri bila shurti" labda wewe ni mgeni na huu usemi
Hujajibu hojaUnaandika hapa kwa vile akili yako ni nzuri na haukwenda Mahakamani. Ila mnachoharibu ni kuwajaza ujinga mabwege kwa kuwaita Makamanda. Nyie mnabakia kwenu wenzenu wana umia
Kisasi ni haki kabisa,jino kwa jino na damu kwa damu.Hii mikwara ya kipumbavu itawarudisha sana Mabwepande! Eti utalipiza kisasi! Nyoooo!!!
Nguruwe wewe 🐷🐷🐷Wewe uliwahi kumkemea Lissu anaporoka?
Sawa kabisa.Kisasi ni haki kabisa,jino kwa jino na damu kwa damu.
don't panic, that's nature of the truthIdiot!
Shithole!

Kwenda mahakamani ni kosa kisheria?Maumivu ya kujitakia hayana huruma
Polisi wamewaambia musiende nanyi mumelazimisha kwenda. Polisi hawakufundishwa kuongea kama waalimu au wanasheria, bali walifundishwa kutuliza ghasia. Ukiambiwa tii amri bila shurti na ukalaidi ujue kinachokufuata ni kuvunjwa ugoko
Kitendo cha Jeshi la Polisi kupiga wafuasi wa Chadema na wengine kutupwa porini Mabwepande baada ya kujeruhiwa na kuvunjwa miguu na mikono kamwe hakiwezi kuiacha nchi salama!
Pia soma: Pre GE2025 - Baada ya kukamatwa Kisutu, Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Zanzibar apatikana, adai kupelekwa Pori la Mabwepande na kupigwa sana
View attachment 3316514
Tatizo ni keyboard fighters wapo wengi kuliko hao wenye maamuzi magumuPolisi wapo afu hamsin
Wanamabadiliko wapo zaidi ya million kumi
Ni siku moja tu watanganyika wakiamua tunaikomboa nchi yeti kutoka kwa mafsad
JPM yuko wapi? Alionywa humu sana tu akashupaza shingo. Nyie endeleeni tu siku Mungu akijibu mtatoweka mmoja mmoja kama waliomshambulia Lissu.Nakufa mimi kwani mimi ndio natoa mikwara ya kipumbavu? Hayo watoa mikwara ndio wataishia Mabwepande na hamtafanya kitu zaidi ya kuloloma JF. Na mna bahati Kuna JF. Isingelikuwapo sijui mngelolomea kwenye masaburi yenu! Nyambafu!!!
Swali la kijingaNimekuuliza ukiamriwa na polisi usilale na mme wako utakubali?
Tii amri bila shurti acha longolongoNani alikuwa anavunja sheria. Mwananchi ambaye sheria inamruhusu kwenda mahakamani au polisi anayezuia mwananchi...
Kila mtu ana siku yake ya kufariki na hakuna anayejua siku yake ya kufa na atakufaje. Kama unabishia hilo, niambie wewe utakufa lini na utakufaje! Ahahahahaha!!!JPM yuko wapi? Alionywa humu sana tu akashupaza shingo. Nyie endeleeni tu siku Mungu akijibu mtatoweka mmoja mmoja kama waliomshambulia Lissu.
Kama Lissu anavyoyatumia kwa wazungu.Ukiona mtu anapenda penda kutajq makalio ana namna yake anavyo yatumia
Watii amri ya Polisi bila shurti. Court room kubwa ya Kisutu haina uwezo wa kuchukua watu zaidi 80. Unapohamasisha watu kwenda Mahakamani kwanza unaitishia Mahakama, pili huwezi juwa wale watu wanaweza kuja na silaha. "Tii amri bila shurti"Kwenda mahakamani ni kosa kisheria?
Aiseeeeeh! kumbe imebadilika? zamani ilikuwa "utii wa SHERIA bila shuruti" Na sasa ni "utii wa AMRI..." Vijana wa Samia mnakazi.Tii amri bila shurti acha longolongo