PreGE2025 Naibu Katibu Mkuu Chadema Zanzibar ajiapiza kulipa kisasi kwa kumshtakia Mungu

PreGE2025 Naibu Katibu Mkuu Chadema Zanzibar ajiapiza kulipa kisasi kwa kumshtakia Mungu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unaandika hapa kwa vile akili yako ni nzuri na haukwenda Mahakamani. Ila mnachoharibu ni kuwajaza ujinga mabwege kwa kuwaita Makamanda. Nyie mnabakia kwenu wenzenu wana umia
Hujajibu hoja
 
Maumivu ya kujitakia hayana huruma
Polisi wamewaambia musiende nanyi mumelazimisha kwenda. Polisi hawakufundishwa kuongea kama waalimu au wanasheria, bali walifundishwa kutuliza ghasia. Ukiambiwa tii amri bila shurti na ukalaidi ujue kinachokufuata ni kuvunjwa ugoko
Kwenda mahakamani ni kosa kisheria?
 
Kitendo cha Jeshi la Polisi kupiga wafuasi wa Chadema na wengine kutupwa porini Mabwepande baada ya kujeruhiwa na kuvunjwa miguu na mikono kamwe hakiwezi kuiacha nchi salama!

Pia soma: Pre GE2025 - Baada ya kukamatwa Kisutu, Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Zanzibar apatikana, adai kupelekwa Pori la Mabwepande na kupigwa sana
View attachment 3316514

Okay sawa
Sometimes kulipa Kisasi ni ibada ya HAKI, na unapata thawabu kubwa kwa Mungu.

Biblia Takatifu,

Kutoka 21 : 14, 23 - 25.
"Lakini mtu akimshambulia mwenzake makusudi na kumuua kwa jeuri, hata Kama atakimbilia kwenye madhabahu, mtamtoa huko madhabahuni pangu na KUMUUA.
Lakini Kama yatakuwepo madhara mengine, basi lazima amlipe uhai kwa uhai, jino kwa jino, jicho kwa jicho, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu, kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, na pigo kwa pigo."
 
Nakufa mimi kwani mimi ndio natoa mikwara ya kipumbavu? Hayo watoa mikwara ndio wataishia Mabwepande na hamtafanya kitu zaidi ya kuloloma JF. Na mna bahati Kuna JF. Isingelikuwapo sijui mngelolomea kwenye masaburi yenu! Nyambafu!!!
JPM yuko wapi? Alionywa humu sana tu akashupaza shingo. Nyie endeleeni tu siku Mungu akijibu mtatoweka mmoja mmoja kama waliomshambulia Lissu.
 
JPM yuko wapi? Alionywa humu sana tu akashupaza shingo. Nyie endeleeni tu siku Mungu akijibu mtatoweka mmoja mmoja kama waliomshambulia Lissu.
Kila mtu ana siku yake ya kufariki na hakuna anayejua siku yake ya kufa na atakufaje. Kama unabishia hilo, niambie wewe utakufa lini na utakufaje! Ahahahahaha!!!
 
Kwenda mahakamani ni kosa kisheria?
Watii amri ya Polisi bila shurti. Court room kubwa ya Kisutu haina uwezo wa kuchukua watu zaidi 80. Unapohamasisha watu kwenda Mahakamani kwanza unaitishia Mahakama, pili huwezi juwa wale watu wanaweza kuja na silaha. "Tii amri bila shurti"
 
Back
Top Bottom