PreGE2025 Naibu Katibu Mkuu Chadema Zanzibar ajiapiza kulipa kisasi kwa kumshtakia Mungu

PreGE2025 Naibu Katibu Mkuu Chadema Zanzibar ajiapiza kulipa kisasi kwa kumshtakia Mungu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu naye akamatwe maneno yake yana viashiria vya uhaini
 
Mwananchi mwenye hasira uonesha hasira zake barabarani kwa kuandamana na sio kulolomea JF. Kuna jamaa anahisi uenda ninyi ni maroboti tu. Mitandaoni mmejaa, lakini barabarani yupo Heche, Mnyika na Hilda Newton tu! Ahahahahaha!!!
Mabwege ya mama utayajua kwa kulinda uovu badala ya kukemea!
 
Yakhee, serikali yetu haina dini na kwa maana hiyo Mungu wako haitambui. Kwa hiyo hata ukimshitakia kwamba serikali walikupiga kwa uonevu ni kazi bure.

PS:
Ukikaidi utapigwa tu- Pinda
Serikali ambayo kila kukicha inawaomba viongozi wa dini waiombee!
 
Serikali ambayo kila kukicha inawaomba viongozi wa dini waiombee!
Serikali inayopambana na shetani (CDM) bila neno lenye hofu ya Mungu mngekuwa mmeangamia,-VIONGOZI WA dini ndio nguzo ya CCM nyie endeleeni na mabepari,ndio maana kumbe Lema anawadharau viongozi wa dini
 
Serikali inayopambana na shetani (CDM) bila neno lenye hofu ya Mungu mngekuwa mmeangamia,-VIONGOZI WA dini ndio nguzo ya CCM nyie endeleeni na mabepari
🚮🚮🚮
 
Kuna haja sasa kwa kila mwananchi kujitafutia silaha, hata kama ni duni, inayoweza kukusaidia kuokoa maisha yako dhidi ya hawa polisi dhulumati. Kwa wakati huu adui mkubwa wa usalama wa mwananchi anayependa haki, ni polisi.
Wewe mbona haujavunjwa miguu?
 
Hivi kuna watu wanahisi Karma hamuishiki Rais wa nchi kwa kutuma kwake polisi kupiga watu na kuwatupa , tayari uongozi wake unajaa laana
Muulizeni Nebukandreza Magufuli watu waliomba na kusali usiku na mchana , alikufa kwa aibu , alikufa na pampas, Corona ilimchukua shaaaaaa na stroke juu.
Huyu naye aangalie akitesa sana watu wakaingia mimbarani miaka 5 anayoipata hatoimaliza walai
 
Polisi akikuzuia usilale na mme wako hutakubali Kwakuwa polisi wamesema?

Polisi anazuiaje watu kufika mahakamani kusikiliza kesi na kurejea makwao

Hawa watu wana akili mbovu sana , kwanza ni makosa Polisi kuzuia Raia kwenda kusikiliza kesi ya wazi mahakamani .
Hiyo order ni null and void
 
Back
Top Bottom