Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Ht ww ikifika muda wako utasepa tena inawezekana ikawa mchana kweupe peeeeee na jua lake la utosiniNa mwishowe akafa kifo Cha aibu. Malipo ni hapa hapa duniani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ht ww ikifika muda wako utasepa tena inawezekana ikawa mchana kweupe peeeeee na jua lake la utosiniNa mwishowe akafa kifo Cha aibu. Malipo ni hapa hapa duniani.
Waliomkimbia walikua majasrii sio[emoji1787]
Chuma kaza pumbu wajinga wakakimbilia kwa maupinde
Kazaliwa hivyo sio Kungumanga bwana,ila kama yumo humu kweli naanasoma comments zetu Rais unatakiwa kujitafakari sana unatupeleka kubaya na kinachokusahidia hatuna watu wa kuthubutu kama Odinga.Lakini ndio hawezi sasa kabaki kula kungumanga ili macho yalegee.
Hayakuwa matukio ya kutisha watu kutokea kila siku. Hata enzi za Ulimboka watu tulipaza sauti zetu ingawa tuliishia kuambiwa tunatumiwa na mabeberu!!Kuna watu waling'olewa meno bila ganzi kwenye awamu flni hv ya pesa nje nje lkn hamuongei kabisa mana bado mambo yenu yaliwanyookea, ila alipokuja chuma na kuwabania kila mahali ndo mnakuja kutupigia kelele
Ht ww ikifika muda wako utasepa tena inawezekana ikawa mchana kweupe peeeeee na jua lake la utosini
Wewe ndo kilema wa maisha wa akili haujui kutofautisha rais aliyekuwa anatupeleka kwenye Mafanikio na Rais anayetupeleka kwenye Madeni.Alikuwa katili sana jamaa yenu. Kuna watu wamebaki vilema wa maisha kwa yeye kuendekeza watu waliokuwa wanausifia ukatili wake!!
Hajafa kizembe, alikuwa na maamuzi ya kiume!
Aibu ipi? Alikufa kishujaa, akiwa ameacha kazi ya kizalendo iliyotukukua na kuweka mfano wa jinsi tunavyoweza kufanikiwa kama tukiwa serious na maendeleo ya nchi.Halafu naye akafa kwa aibu. Usicheze na damu za watu.
Mafanikio aliyotuachia ndiyo haya madeni ambayo tunaambiwa tunakaribia kuvuka mstari wa kuyahimili. Kwani aliikuta nchi haina maendeleo!!??Wewe ndo kilema wa maisha wa akili haujui kutofautisha rais aliyekuwa anatupeleka kwenye Mafanikio na Rais anayetupeleka kwenye Madeni.
Hizo ni kauli za kishoga, mwanaume unakufa kwa kile unachokiamini.
Yesu kristo alikufa kwa kile alichokua anakiamini.
Galileo Galilei alikufa kwa kile alichokua anakiamini.
Historia hukumbuka watu waliokufa kwa kusimamia wanachokiamini sio mashoga na waoga.
Hakuna muoga alieshi miaka 100 ama 200 anaekumbukwa, anaumbukwa shujaa hata kama aliishi miaka 2.
Ukiwa shujaa unaishi muda mfupi lakini unaacha jina linaishi karne na karne, unakua muoga unaishi miaka 100 ukifa hata ukoo wako wanakusahau.
Wewe unamtindio wa ubongo,Hao akina urimboka wangekubadilishia ARVs hizo unazo meza wakakupa fake ungejisikiaje,Mtu anag'olewa meno na kucha na kusema hakukuwa na matukio ya kutisha?.Hayakuwa matukio ya kutisha watu kutokea kila siku. Hata enzi za Ulimboka watu tulipaza sauti zetu ingawa tuliishia kuambiwa tunatumiwa na mabeberu!!
Kuna watu waling'olewa meno bila ganzi kwenye awamu flni hv ya pesa nje nje lkn hamuongei kabisa mana bado mambo yenu yaliwanyookea, ila alipokuja chuma na kuwabania kila mahali ndo mnakuja kutupigia kelele
Mwangosi alibutuliwa mchana kweupe achilia mbali Chacha Wangwe!
Kwani bado huyo Shujaa wa Jirani yupo!? Hasikiki!!Nadhani Shujaa wa Nchi jirani anajulikana
Naibu Rais Gachagua amesema angekuwa yeye pale juu asingemlealea kabisa Raila Odinga na hata Uhuru Kenyatta analielewa hilo
Gachagua amesema ana vijana wa kutosha nyuma yake hivyo Raila aache upuuzi wa kuisumbua Serikali bila sababu za msingi
Mlale unono!
Mkuuu ndo mana tunawambia yaani hili jina mmeamua kujiita la chawa wa Mama ni laaana kwenu,mnaongea tu ili mradi tu umeambiwa akikisha Mb tulizokununulia zinaisha.Mafanikio aliyotuachia ndiyo haya madeni ambayo tunaambiwa tunakaribia kuvuka mstari wa kuyahimili. Kwani aliikuta nchi haina maendeleo!!??
Jiwe alikuwa ni KichaaShujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.
Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.
Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
Aibu ipi? Alikufa kishujaa, akiwa ameacha kazi ya kizalendo iliyotukukua na kuweka mfano wa jinsi tunavyoweza kufanikiwa kama tukiwa serious na maendeleo ya nchi.
Atakumbukwa milele na watanzania wazalendo.
Mnapofikia Mahala pa kuwaita Vichaa MashujaaNadhani Shujaa wa Nchi jirani anajulikana
Naibu Rais Gachagua amesema angekuwa yeye pale juu asingemlealea kabisa Raila Odinga na hata Uhuru Kenyatta analielewa hilo
Gachagua amesema ana vijana wa kutosha nyuma yake hivyo Raila aache upuuzi wa kuisumbua Serikali bila sababu za msingi
Mlale unono!